MUSIC:BEX WAMUSIC-NISAMEHE DOWNLOAD AND LISTEN
kutoka kwa Msanii Bex wa Music Kakusogezea audio Hii hapa.Nisamehe Imetayarishwa na Dir Shack..
MAPENGO YA SHERIA ZA USALAMA BARABARANI.(Mzee Wa Info)
Muungano wa asasi za kiraia unaoshawishi, kuimarishwa kwa mazingira ya sheria na sera ya usalama barabarani..
NEW MUSIC:RYCHRIS-SHUKA BWANA--GOSPLE-DOWNLOAD
MWIMBAJI WA MZIKI WA INJILI RUMISHAEL ULOMI (RYCHRIS) KWA SASA AMEKUSOGEZEA KAZI HII MPYA YA SHUKA BWANA..
AUDIO:WAJUE GENEOUS WAVUMBUZI WA 3G,4G ..(Mzee wa Info)
The giniazi(Geneous) ndo muda wake kwa sasa Mzee wa Info nakusogezea majiniazi wa vitu mbalimbali huku ulimwenguni
CHANZO CHA ZERO SHULE ZA MSINGI HIKI HAPA..SIKILIZA NA DOWNLOAD..
Ugumu wa soko la Ajira si tatizo la Tanzania pekee bali karibia mataifa yote ulimwenguni yanakumbana na changamoto hii,lakini tatizo ni kubwa zaidi kwa mataifa ya ulimwengu wa tatu
Tanzania Anthem
Tuesday, 31 March 2015
Friday, 27 March 2015
Thursday, 26 March 2015
Wednesday, 25 March 2015
VIDEO:SNOOP DOG AZICHAPA KAVU KAVU!.
Snoop Dogg alikuwa mgeni kwenye ulingo wa mieleka wa WWE Raw inayofanyika kila jumatatu .Snoop Dogg aliingia kwenye ulingo na kutaka pambano na mcheza mieleka Curtis Axel aliyekuwa akimtani kwenye mitandao ya kijamii.
TAZAMA VIDEO HAPA>>>
TAZAMA VIDEO HAPA>>>
Tuesday, 24 March 2015
WALA FAINI KWA KUPANDISHA NAULI>>
mamlaka ya usafirishaji nchi kavu na majini SUMATRA Mkoa wa Katavi Imelitoza basi La A.N linalofanya Safari kati ya Katavi na Tabora faini ya zaidi shilingi laki saba kwa makosa matatu tofauti,likiwemo la kupandisha nauli.
Akizungumza na mpanda radio fm/mtandao meneja wa SUMATRA Bwana Aman Erasto amesema kuwa basi hilo lenye namba za usajili T-810 AQY lilikiuka sheria kwa kujaza abiria kupita kiasi,kupandisha nauli zaidi ya bei elekezi na kufanya safari nje na ratiba.
Kwa upande wake bwana Thobiasi Joseph Msimamizi wa Magari ya Kampuni ya Zackaria Express Ameitaka SUMATRA kuangalia miundo mbinu kabla ya kuwatoza faini kwani miundo mbinu ndio chanzo cha wao kuvunja sheria.
Nae bwana masanja mwanaharakati NI miongoni mwa abiria waliokutwa na mkasa wa kupandishiwa nauli amesema kuwa kitendo kilichofanywa na SUMATRA mkoani katavi ni uvamizi kutokana na mamlaka hiyo kutangaza kushusha bei za mafuta na sio nauli.
Monday, 23 March 2015
Sunday, 22 March 2015
MIAKA 10 MAJI TATIZO
![]() |
Baadhi ya wakazi wakichota maji katika kisima.Picha Na maktaba |
Na Agnes Munubi-katavi
Wananchi wa kata ya Kasokola halmashauri ya Nsimbo wameiomba serikali kuwachimbia visima virefu vya maji.
Friday, 20 March 2015
TMF USO KWA USO NA SAUTI YA KATAVI>>
![]() |
Mwakilishi kutoka mfuko wa vyombo vya habari Tanzania (TMF)Alex Kanyambo.Picha na Stanley Msigwa |
Hivi Ndivyo Hali Inavyoendelea Katika Kikao Kinachoendelea Baina Ya Waandishi Wa Mpanda Radio Fm(Sauti Ya Katavi) Chini Ya Mkurugenzi Mtendaji,Amini Mitha,Meneja ,Prosper Kwigize,Na Mshauri Na Mahusiano, Leonard Chikoti,Na Wawakilishi Kutoka Mfuko Wa Vyombo Vya Habari Tanzania TMF(Tanzania Media Fund)Bwana Alex Kanyambo na Mwanzo Millinga.
Wednesday, 18 March 2015
Tuesday, 17 March 2015
Sunday, 15 March 2015
WANAWAKE NDO CHANZO CHA UKIMWI
Na Isaack Gerald-Katavi
Imeelezwa kuwa kundi la wanawake ndilo linalochangia kwa kiasi kikubwa kuongezeka maambukizi ya virusi vya Ukimwi ukilinganisha na makundi mengine.

Friday, 13 March 2015
POLISI VS BODABODA NJOMBE HAPATOSHI.
![]() |
Madereva Wa pikipiki katika uwanja wa kituo kikuu cha polisi ,mkoa wa njombepicha na maktaba.. |
Polisi mkoani Njombe inaendesha msako mkali wa kuwakamata madereva wa pikipiki kufuatia matukio mawili yaliyotokea mwishoni mwa wiki iliyopita likiwemo la kuvamia kituo kikuu cha polisi Mjini Njombe tukio lililosababisha uvunjifu wa amani.
Tuesday, 10 March 2015
WAHARIFU WOTE KUPIGIWA KURA YA MAONI

Na issack Gerald_Katavi
Jeshi la Poliasi Mkoani Katavi limesema litaendelea kushirikisha jamii kwa ujumla katika kupambana na uharifu.
Hayo yamebainishwa leo na Kamishna msaidizi Mkoa wa Katavi Rashid Mohamed wakati wa mahojiano na Mpanda fm radio/mtandao huu Ofisini kwake
Friday, 6 March 2015
KIKWETE:NATAKA TUME YA PANDE TATU IUNDWE
Na Stanley Msigwa_Mpanda
Rais Ya Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Dr Jakaya Mrisho Kikwete Ametaka Kuundwe Kwa Kamati Maalumu Kutoka Upande Wa Serikali,Watu Wenye Ulemavu Wa Ngozi Pamoja Na Jukwaa La Tiba Asilia,Ili Kuhakikisha Kamati Hiyo Ishughulikie Matukio Ya Utekaji Nyara,Na Mauaji Ya Watu Wenye Ulemavu Wa Ngozi Yanayoendelea Nchini.
POLISI WA KIKE AVULIWA NGUO NA KUACHWA MTUPU, SOMA ZAIDI
SINGIDA
Wafanyabiashara watatu na wanachuo watano wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Singida wakikabiliwa na mashitaka ya kumdhalilisha kupindukia askari polisi wa kike na kumsababishia maumivu makali mwilini Mwanasheria wa Serikali, Petrida Mutta alidai mbele ya Hakimu Joyce Minde,kwamba kwa pamoja, washitakiwa hao walimfanyia unyama askari huyo kwa kumvua nguo zote na kumwacha mtupu kisha kumshambulia na kumsababishia maumivu makali mwilini.
Wafanyabiashara watatu na wanachuo watano wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Singida wakikabiliwa na mashitaka ya kumdhalilisha kupindukia askari polisi wa kike na kumsababishia maumivu makali mwilini Mwanasheria wa Serikali, Petrida Mutta alidai mbele ya Hakimu Joyce Minde,kwamba kwa pamoja, washitakiwa hao walimfanyia unyama askari huyo kwa kumvua nguo zote na kumwacha mtupu kisha kumshambulia na kumsababishia maumivu makali mwilini.
Thursday, 5 March 2015
Wednesday, 4 March 2015
PANDENI MITI MVUNE TUMBAKU!! BOFYA KUSIMA ZAIDI

wakuliama watumbaku wakiwa kwenye hatua ya ukaushaji wa tumbaku,Picha na maktaba.
Na Agness Mnubi-Katavi
WAKULIMA wa zao la Tumbaku Wilayani Mpanda Mkoani Katavi wametakiwa kupanda miti ya kutosha ili kuhifadhi mazingira.
Wito huo umetolewa na Bwana shamba kutoka kampuni ya Premium Idd Ramadhani wakati akihojiwa na Sauti ya katavi kuhusu athari za Uharibifu wa Mazingira zitokanazo na wakulima wa Tumbaku.