Jeshi La Polisi Mkoa Wa Katavi Kitengo Cha Usalama Barabarani Limesima Kuwa Limejipanga Kikamilifu,Kupambana Na Kudhibiti Vitendo Viovu Vya Matumizi Ya Barabara Katika Msimu Huu Wa Sikukuu
Aidha Mrakibu msaidizi Mfinanga Ameongeza Kuwa Kwa Wale Watu Ambao Hutumia Siku Za Sikukuu Kusafirisha Vitu Batili Kwa Madai Jeshi Halipo Makini Nao Watadhibitiwa Na Kikosi Maalumu Kilichotengwa.
Pamoja na hayo ameitaka Jamii Kuwa Makini Hususani Walezi Dhidi Ya Watoto Wanapokuwa Barabarani Pamoja Na Walevi Katika Matumizi Sahihi Ya Barabara.
0 comments:
Post a Comment