MUSIC:BEX WAMUSIC-NISAMEHE DOWNLOAD AND LISTEN

kutoka kwa Msanii Bex wa Music Kakusogezea audio Hii hapa.Nisamehe Imetayarishwa na Dir Shack..

MAPENGO YA SHERIA ZA USALAMA BARABARANI.(Mzee Wa Info)

Muungano wa asasi za kiraia unaoshawishi, kuimarishwa kwa mazingira ya sheria na sera ya usalama barabarani..

NEW MUSIC:RYCHRIS-SHUKA BWANA--GOSPLE-DOWNLOAD

MWIMBAJI WA MZIKI WA INJILI RUMISHAEL ULOMI (RYCHRIS) KWA SASA AMEKUSOGEZEA KAZI HII MPYA YA SHUKA BWANA..

AUDIO:WAJUE GENEOUS WAVUMBUZI WA 3G,4G ..(Mzee wa Info)

The giniazi(Geneous) ndo muda wake kwa sasa Mzee wa Info nakusogezea majiniazi wa vitu mbalimbali huku ulimwenguni

CHANZO CHA ZERO SHULE ZA MSINGI HIKI HAPA..SIKILIZA NA DOWNLOAD..

Ugumu wa soko la Ajira si tatizo la Tanzania pekee bali karibia mataifa yote ulimwenguni yanakumbana na changamoto hii,lakini tatizo ni kubwa zaidi kwa mataifa ya ulimwengu wa tatu

Tanzania Anthem

Wednesday, 4 March 2015

PANDENI MITI MVUNE TUMBAKU!! BOFYA KUSIMA ZAIDI

images  
wakuliama watumbaku wakiwa kwenye hatua ya ukaushaji wa tumbaku,Picha na maktaba.
Na Agness Mnubi-Katavi
WAKULIMA wa zao la Tumbaku Wilayani Mpanda Mkoani Katavi wametakiwa kupanda miti ya kutosha ili kuhifadhi mazingira. Wito huo umetolewa na Bwana shamba kutoka kampuni ya Premium Idd Ramadhani wakati akihojiwa na Sauti ya katavi kuhusu athari za Uharibifu wa Mazingira zitokanazo na wakulima wa Tumbaku.
Share:

Blog Archive