MUSIC:BEX WAMUSIC-NISAMEHE DOWNLOAD AND LISTEN

kutoka kwa Msanii Bex wa Music Kakusogezea audio Hii hapa.Nisamehe Imetayarishwa na Dir Shack..

MAPENGO YA SHERIA ZA USALAMA BARABARANI.(Mzee Wa Info)

Muungano wa asasi za kiraia unaoshawishi, kuimarishwa kwa mazingira ya sheria na sera ya usalama barabarani..

NEW MUSIC:RYCHRIS-SHUKA BWANA--GOSPLE-DOWNLOAD

MWIMBAJI WA MZIKI WA INJILI RUMISHAEL ULOMI (RYCHRIS) KWA SASA AMEKUSOGEZEA KAZI HII MPYA YA SHUKA BWANA..

AUDIO:WAJUE GENEOUS WAVUMBUZI WA 3G,4G ..(Mzee wa Info)

The giniazi(Geneous) ndo muda wake kwa sasa Mzee wa Info nakusogezea majiniazi wa vitu mbalimbali huku ulimwenguni

CHANZO CHA ZERO SHULE ZA MSINGI HIKI HAPA..SIKILIZA NA DOWNLOAD..

Ugumu wa soko la Ajira si tatizo la Tanzania pekee bali karibia mataifa yote ulimwenguni yanakumbana na changamoto hii,lakini tatizo ni kubwa zaidi kwa mataifa ya ulimwengu wa tatu

Tanzania Anthem

Tuesday, 17 October 2017

NEW TRACK:FACE G...FAKE... Download (Mzee Wa Info)


Msanii Face G Baada ya kutamba Na Ngoma Kadhaa Huko Nyuma Ikiwemo,Baby Go,sasa karejea na Ujio Mwingine Tena........ 

Share:

KIMBEMBE CHA KOMPYUTA KATIKA HOSPITALI YA KIBENA.


Na Prosper Mfugale-njombe.
Hospitali ya rufaa ya mkoa wa njombe kibena inakabiliwa na uhaba wa kompyuta kwaajili ya kusaidia kuharakisha ukusanyaji wa mapato kwa kutumia mifumo ya kielekroniki pamoja na kutunza taarifa ambapo kwa sasa kuna kompyuta 8 tu kati ya kompyuta 48 zinazohitajika.
Share:

Blog Archive