MUSIC:BEX WAMUSIC-NISAMEHE DOWNLOAD AND LISTEN

kutoka kwa Msanii Bex wa Music Kakusogezea audio Hii hapa.Nisamehe Imetayarishwa na Dir Shack..

MAPENGO YA SHERIA ZA USALAMA BARABARANI.(Mzee Wa Info)

Muungano wa asasi za kiraia unaoshawishi, kuimarishwa kwa mazingira ya sheria na sera ya usalama barabarani..

NEW MUSIC:RYCHRIS-SHUKA BWANA--GOSPLE-DOWNLOAD

MWIMBAJI WA MZIKI WA INJILI RUMISHAEL ULOMI (RYCHRIS) KWA SASA AMEKUSOGEZEA KAZI HII MPYA YA SHUKA BWANA..

AUDIO:WAJUE GENEOUS WAVUMBUZI WA 3G,4G ..(Mzee wa Info)

The giniazi(Geneous) ndo muda wake kwa sasa Mzee wa Info nakusogezea majiniazi wa vitu mbalimbali huku ulimwenguni

CHANZO CHA ZERO SHULE ZA MSINGI HIKI HAPA..SIKILIZA NA DOWNLOAD..

Ugumu wa soko la Ajira si tatizo la Tanzania pekee bali karibia mataifa yote ulimwenguni yanakumbana na changamoto hii,lakini tatizo ni kubwa zaidi kwa mataifa ya ulimwengu wa tatu

Tanzania Anthem

Friday, 13 June 2014

DON JAZZY KAMWAJIRI MFANYAKAZI WA SHIRIKA LA NDEGE SOMA..


Mfanyakazi wa shirika la airline aliyefukuzwa kazi baada ya kumruhusu kuendesha gari dogo linalotumika kubeba mizigo (arport cart), kinyume cha sheria. 

Don jazzy alifika katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa murtala mohammed, lagos nigeria wakati akielekea kwenye tuzo za mtv afrika kusini ambapo aliruhusiwa na mfanyakazi huyo kuendesha kigari hicho tena akiwa na mfanyakazi huyo pembeni.

Share:

SOMA HAPA ALICHOKUTANA NACHO MASOGANGE JELA YA SAUZI


video kwin.. agness gelard a.ka. masogange amefunguka kuhusiana na na matatizo aliyopata jela mwaka jana kule sauzi afrika  alipokama twa na mzigo uliosadikika kuwa ni ..(kushiiii) madawa ya kulevya…
Share:

WALIOPOTEA MALAYSIA FAMILIA ZAO KULIPWA




familia za abiria waliopotea na ndege ya malaysia wameanza kupokea malipo ya awali ya fidia ya dola elfu 50 kila mmoja.

 mpaka sasa, familia sita kutoka malaysia na moja ya china wamepokea fedha hizo na makampuni ya bima yanadai kiasi cha fedha kwa familia 40 zaidi.

ndugu wa abiria wote 239 waliokuwa ndani ya ndege hiyo wanaweza kudai fedha taslimu takribani dola laki moja na elfu 75 kila mmoja.

ndege ya malaysia yenye namba mh370 ilipotea machi 8 mwaka huu wakati ikisafiri kutoka kuala lumpur hadi beijing ambapo hadi sasa haijapatikana.
Share:

Blog Archive