Home »
new audio
» NEW AUDIO!DOWNLOAD AND LISTEN...PEACE MAKER=MAPENZI MATAMU
JINA LAKE HALISI ANAITWA HEKIMA MSIGWA KUTOKA NYANDA ZA JUU KUSINI...KATIKA NCHI YA AHADI ASALI NA MAZIWA (NJOMBE)NA NI MWANAFUNZI WA CHUO KIKUU CHA DODOMA(UDOM)
KATIKA SANAA ANAJULIKANA KAMA PEACE MAKER SASA KAJA NA BONGE LA TRACK HII HAPA INAITWA MAPENZI MATAMU..IMETENGENEZWA DREAMZ RECORD CHINI YA PRODYUZA SAILAS..
BONGE MOJA LA KWAITO FLAN HIVI EMU IDOENLOIDI NA USIKILIZE HAPA CHINI.....
0 comments:
Post a Comment