Tanzania Anthem

Wednesday, 17 September 2014

NEW AUDIO#DOGO D-SIWEZI KUWA WAKO

rapper mdogo kuliko wote kwa sasa tz Kutoka jiji la mawe,rock city mwanza! amekuja kwa awamu nyingine na track mya inayoenda kwa jina la siwez kuwa wako.imetengezwa na nunda rec.

ipakue hapa na usikilize bonge moja la hiphop.

Share:

0 comments:

Post a Comment

Blog Archive