Tanzania Anthem

Thursday, 1 September 2016

VIDEO & AUDIO TUKIO ZIMA LILILOTOKEA NJOMBE KUPATWA KWA JUA.TAZAMA HAPA>>



WAKATI KILA MMOJA LEO HII AKIZUNGUMZA LA KWAKE MITANDAONI BASI BILA HIYANA NA MIMI NIKAONA NI FURSA YAKO KUPATA UHALISIA WA JAMBO KWA WALIOKUWEPO ENEO LA TUKIO.
HUYU HAPA CHINI MTAALAMU WA MASUALA YA SAYANSI KUTOKA TMA NYANDA ZA JUU KUSINI ISSA HAMADI ANAKWAMBIA MPAKA MIKA 150 MBELE..... WAWEZA MTAZAMA MWENYEWE:







MARA BAADA YA MTAALA NA MASUALA YA SAYANSI WANAFUNZI NAO WAKATIA NENO KWA WALICHO JIFUNZA PAMOJA NA WANANCHI WENGINE.
WATAZAME PIA HAPA CHINI,



VIDEO HIZI NI KWA USHIRIKIANO NA MWANDISHI PROSPER MFUGALE KUTOKA MKOANI HUMO.


NA IKIWA BASI UNATAKA RIPOTI NZIMA KWA NJIA YA AUDIO MWANDISHI JAMES FESTO KUTOKA WANGING'OMBE AMEANDAA RIPOTI KUTOKA ENEO LA TUKIO JINSI ZOEZI LILIVYO ANZA NA KUMALIZIKA.
WAWEZA SIKILIZA HAPO NA KUDOWNLOAD PIA.




Share:

0 comments:

Post a Comment

Blog Archive