MUSIC:BEX WAMUSIC-NISAMEHE DOWNLOAD AND LISTEN

kutoka kwa Msanii Bex wa Music Kakusogezea audio Hii hapa.Nisamehe Imetayarishwa na Dir Shack..

MAPENGO YA SHERIA ZA USALAMA BARABARANI.(Mzee Wa Info)

Muungano wa asasi za kiraia unaoshawishi, kuimarishwa kwa mazingira ya sheria na sera ya usalama barabarani..

NEW MUSIC:RYCHRIS-SHUKA BWANA--GOSPLE-DOWNLOAD

MWIMBAJI WA MZIKI WA INJILI RUMISHAEL ULOMI (RYCHRIS) KWA SASA AMEKUSOGEZEA KAZI HII MPYA YA SHUKA BWANA..

AUDIO:WAJUE GENEOUS WAVUMBUZI WA 3G,4G ..(Mzee wa Info)

The giniazi(Geneous) ndo muda wake kwa sasa Mzee wa Info nakusogezea majiniazi wa vitu mbalimbali huku ulimwenguni

CHANZO CHA ZERO SHULE ZA MSINGI HIKI HAPA..SIKILIZA NA DOWNLOAD..

Ugumu wa soko la Ajira si tatizo la Tanzania pekee bali karibia mataifa yote ulimwenguni yanakumbana na changamoto hii,lakini tatizo ni kubwa zaidi kwa mataifa ya ulimwengu wa tatu

Tanzania Anthem

Monday, 7 December 2015

MKUU WA MKOA ATANGAZA SIKU RASMI YA USAFI.

MKOA Wa Katavi umeteua siku ya jumamosi ya Kuwa siku Maalum kwa wakazi wa Mkoa huo kufanya usafi Katika Mazingira yanayowazunguka.

Agizo hilo limetolewa leo  na Mkuu wa Mkoa wa Katavi Dr Ibrahimu Msengi Wakati wa Uzinduzi wa siku ya Usafi Katika Mkoa wa Katavi Ikiwa ni sehemu ya Kutekeleza agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania la Kufanyika usafi wa Mazingira ifikapo Decemba 9 Mwaka huu.

Dr Msengi amesema amaagiza Viongozi wa ngazi ya Kata na Vijiji kuandaa utaratibu Maalum wa Utekelezaji wa Agizo hilo ikiwemo Kuwachukulia hatu watu watakaokaidi agizo hilo kwa Kushindwa kufanya usafi Katika Mazingira yanayowazunguka.
MKUU WA MKOA WA KATAVI MSIKILIZE HAPA.
Wakati huo huo Mkuu wa Wilaya Katavi Bw Paza Mwamlima ametangaza amri ya kila mtu kuhakikisha anafanya Kazi ikiwa ni pamoja na Kuzuia bishara ya bar kufanyika nyakati za asbuhi,Michezo kama pool table.
MKUUWA WILAYA YA MPANDA MSIKILIZE HAPA .

Nao baadhi ya wananchi walioshiriki Katika zoezi hilo la uzinduzi wa usafi wamemshukuru Rais Dr John Pombe Magufuli Kwa uamzi wake wa Kusimamia usafi wa Mazingira ambapo wamewataka Viongozi wenye Mamlaka ya kusimamia usafi wasisubiri amri ya serikali ya juu na badala yake wafanye kazi zilizowajili.

Jumla ya tani 65.4 za taka ngumu hukusanywa Katika Manispaa ya Mpanda hali inayochangia kuwepo Kwa maeneo yenye uchafu sugu Katika Mji wa Mpanda.
Share:

Blog Archive