MUSIC:BEX WAMUSIC-NISAMEHE DOWNLOAD AND LISTEN
kutoka kwa Msanii Bex wa Music Kakusogezea audio Hii hapa.Nisamehe Imetayarishwa na Dir Shack..
MAPENGO YA SHERIA ZA USALAMA BARABARANI.(Mzee Wa Info)
Muungano wa asasi za kiraia unaoshawishi, kuimarishwa kwa mazingira ya sheria na sera ya usalama barabarani..
NEW MUSIC:RYCHRIS-SHUKA BWANA--GOSPLE-DOWNLOAD
MWIMBAJI WA MZIKI WA INJILI RUMISHAEL ULOMI (RYCHRIS) KWA SASA AMEKUSOGEZEA KAZI HII MPYA YA SHUKA BWANA..
AUDIO:WAJUE GENEOUS WAVUMBUZI WA 3G,4G ..(Mzee wa Info)
The giniazi(Geneous) ndo muda wake kwa sasa Mzee wa Info nakusogezea majiniazi wa vitu mbalimbali huku ulimwenguni
CHANZO CHA ZERO SHULE ZA MSINGI HIKI HAPA..SIKILIZA NA DOWNLOAD..
Ugumu wa soko la Ajira si tatizo la Tanzania pekee bali karibia mataifa yote ulimwenguni yanakumbana na changamoto hii,lakini tatizo ni kubwa zaidi kwa mataifa ya ulimwengu wa tatu
Tanzania Anthem
Monday, 16 June 2014
PATA HABARI NZIMA YA DODOMA FM YA LEO HAPA
DODOMA
Wananchi pamoja na viongozi mbalimbali Mkoani Dodoma wametakiwa kutambua
umuhimu wa kuchangia damu salama ili
kuweza kuokoa maisha ya wagonjwa
wengine.
Wito huo umetolewa na Mganga Mkuu
wa Mkoa wa Dodoma Dr.Zainabu Chaula katika maadhimisho ya uchangiaji Damu
yaliyofanyika mwishoni mwa wiki ambapo amesema kuwa kumekuwa na vifo vingi vya
akina mama wajawazito wakati wa kujifungua hivyo ni vyema wananchi wajitokeze kuchangia damu.