MUSIC:BEX WAMUSIC-NISAMEHE DOWNLOAD AND LISTEN
kutoka kwa Msanii Bex wa Music Kakusogezea audio Hii hapa.Nisamehe Imetayarishwa na Dir Shack..
MAPENGO YA SHERIA ZA USALAMA BARABARANI.(Mzee Wa Info)
Muungano wa asasi za kiraia unaoshawishi, kuimarishwa kwa mazingira ya sheria na sera ya usalama barabarani..
NEW MUSIC:RYCHRIS-SHUKA BWANA--GOSPLE-DOWNLOAD
MWIMBAJI WA MZIKI WA INJILI RUMISHAEL ULOMI (RYCHRIS) KWA SASA AMEKUSOGEZEA KAZI HII MPYA YA SHUKA BWANA..
AUDIO:WAJUE GENEOUS WAVUMBUZI WA 3G,4G ..(Mzee wa Info)
The giniazi(Geneous) ndo muda wake kwa sasa Mzee wa Info nakusogezea majiniazi wa vitu mbalimbali huku ulimwenguni
CHANZO CHA ZERO SHULE ZA MSINGI HIKI HAPA..SIKILIZA NA DOWNLOAD..
Ugumu wa soko la Ajira si tatizo la Tanzania pekee bali karibia mataifa yote ulimwenguni yanakumbana na changamoto hii,lakini tatizo ni kubwa zaidi kwa mataifa ya ulimwengu wa tatu
Tanzania Anthem
Friday, 6 March 2015
KIKWETE:NATAKA TUME YA PANDE TATU IUNDWE
Na Stanley Msigwa_Mpanda
Rais Ya Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Dr Jakaya Mrisho Kikwete Ametaka Kuundwe Kwa Kamati Maalumu Kutoka Upande Wa Serikali,Watu Wenye Ulemavu Wa Ngozi Pamoja Na Jukwaa La Tiba Asilia,Ili Kuhakikisha Kamati Hiyo Ishughulikie Matukio Ya Utekaji Nyara,Na Mauaji Ya Watu Wenye Ulemavu Wa Ngozi Yanayoendelea Nchini.
POLISI WA KIKE AVULIWA NGUO NA KUACHWA MTUPU, SOMA ZAIDI
SINGIDA
Wafanyabiashara watatu na wanachuo watano wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Singida wakikabiliwa na mashitaka ya kumdhalilisha kupindukia askari polisi wa kike na kumsababishia maumivu makali mwilini Mwanasheria wa Serikali, Petrida Mutta alidai mbele ya Hakimu Joyce Minde,kwamba kwa pamoja, washitakiwa hao walimfanyia unyama askari huyo kwa kumvua nguo zote na kumwacha mtupu kisha kumshambulia na kumsababishia maumivu makali mwilini.