MUSIC:BEX WAMUSIC-NISAMEHE DOWNLOAD AND LISTEN

kutoka kwa Msanii Bex wa Music Kakusogezea audio Hii hapa.Nisamehe Imetayarishwa na Dir Shack..

MAPENGO YA SHERIA ZA USALAMA BARABARANI.(Mzee Wa Info)

Muungano wa asasi za kiraia unaoshawishi, kuimarishwa kwa mazingira ya sheria na sera ya usalama barabarani..

NEW MUSIC:RYCHRIS-SHUKA BWANA--GOSPLE-DOWNLOAD

MWIMBAJI WA MZIKI WA INJILI RUMISHAEL ULOMI (RYCHRIS) KWA SASA AMEKUSOGEZEA KAZI HII MPYA YA SHUKA BWANA..

AUDIO:WAJUE GENEOUS WAVUMBUZI WA 3G,4G ..(Mzee wa Info)

The giniazi(Geneous) ndo muda wake kwa sasa Mzee wa Info nakusogezea majiniazi wa vitu mbalimbali huku ulimwenguni

CHANZO CHA ZERO SHULE ZA MSINGI HIKI HAPA..SIKILIZA NA DOWNLOAD..

Ugumu wa soko la Ajira si tatizo la Tanzania pekee bali karibia mataifa yote ulimwenguni yanakumbana na changamoto hii,lakini tatizo ni kubwa zaidi kwa mataifa ya ulimwengu wa tatu

Tanzania Anthem

Wednesday, 10 December 2014

NEW AUDIO"TUNDAMAN=ACHANA NA MIMI DOWNLOAD

Ujio mpya kutoka kwa khalid ramadhan 'tundaman'mara baada ya msambinungwa na sasa amerejea na nyimbo mbili tofauti zilizofanywa  maproduzya wawili tofauti.

nyimbo ya kwanza ni walewale imefanywa kw Maneck-AM records na ya pili ni Achana na mimi chaina ya Messen Selekta.studio za defatality music.
Hii hapa ni  Achana na mimi sikiliza na uidownload. 

Share:

KIBONZO CHA LEO NI UHALISIA,,,,BOFYA HAPA>>>

Uhalisia wa maisha kwa mtanzania ndo huu hapa licha ya ksuifika na sifa lukuki kwa mataifa mbalimbali,lakini maisha ya mwananchi wa kawaida ndo haya....

Share:

Blog Archive