Home »
New info
» KIBONZO CHA LEO NI UHALISIA,,,,BOFYA HAPA>>>
Uhalisia wa maisha kwa mtanzania ndo huu hapa licha ya ksuifika na sifa lukuki kwa mataifa mbalimbali,lakini maisha ya mwananchi wa kawaida ndo haya....
nchi yenye umri wa miaka 53 angekuwa ni mfanyakaz angebakiza miaka 7 ya kustaafu na uhali bado anavaa kandambili.
nakupenda mnchi yangu mungu atubariki tufike mahala pazuri tuachane na wimbi hili la umasikini na kuvaa kandambili badala yake tuvae wote choma kumoyo!!!!!!!!!!!!!!
0 comments:
Post a Comment