Home »
New info
» HABARI NJEMA KWA "MSPS" BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI
Kile chuo bora kwa kutoa wataalamu wa taaluma mbalimbali mjini,vijijini hadi jijini...ili kuhakikisha wanatoa output ya uhakika safari hii wamekuja na mambo mapya,na wanakuletea radio rasmi inayojulikana kwa jina la PROFESSIONAL FM.
kwa sasa redio hii ipo kwenye majaribio na unauwezo wa kuisikia kupitia http://www.ustream.tv/channel/proffessional-fm......au tembelea blogu ya Uhakika Info mkono wa kulia utaona kitufe cha kusikilizia.
kwa mjibu wa taarifa ambazo ziliiinyaka blog hii kutoka kwenye ukurasa wa kitabu sura/Facebook wa chuo hicho ni kwamba Mtangazo rasm yanataraji kuanza Tarehe mosi mwezi octoba mwaka huu ambayo pia ni Siku ya Wazee Duniani.
0 comments:
Post a Comment