Licha ya serikali kuweka sheria kali dhidi ya watu
wanakatisha ndoto za wanafunzi wa kike kwa kuwapa ujauzito,na kuharibu malengo yao,imetajwa kuwa tatizo
bado ni kubwa kutokana na wanafunzi kuendelea kupata ujauzito wakiwa shuleni
tena katika umri mdogo.
Adhabu mbalimbali zilitungwa na kuadhimiwa na mihimili ya
serikali ikiwa ni pamoja na mhusika
kufungwa miaka thelathini jela,lakin bado jamii nyingi inaoneka kutohofia
adhabu hiyo.
STANLEY MSIGWA Kutoka Dodoma Ameandaa taarifa zaidi juu ya
jambo hilo.
0 comments:
Post a Comment