Ili kufanikisha azima ya serikali juuu ya elimu hususani
Matokeo Makubwa sasa.BRN serikali imejipanga kutatu changamoto za elimu kwa
kila shule,Lakini Licha ya Jitihada hizo za serikali bado shule nyingi
zinakabiliwa na changamoto mbalimbali.
Shule ya msingi Mkurabi katika mkoa wadodoma inakabiliwa na
upungufu wa walimu,ikiwa na zaidi ya wanafunzi elfu moja na walimu sita
tu,katika kuangalia athari za tatizo hilo mwandishi wetu STANLEY MSIGWA
ametuandalia taarifa ifuatayo….SIKILIZA NA UDOWNLOAD HAPO CHINI>>
0 comments:
Post a Comment