Licha ya serikali kutekeleza
na kuweka mikakati mbalimabli ili kuhakikisha jamii inapata maji safi na
salama lakini baadhi ya maeneo hususani vijijin bado huduma ya maji ni
changamoto kubwa, kwa mjibu wa tafiti
zilizotolewa na ofisi ya mipango kazi
kwa kushirikiana na ofisi ya mkkuu wa mkoa wa Dodoma.zinasema tatizo hili huwa
kubwa sana wakati wa kiangazi.Ambapo kati ya miradi ya maji 334 iliyokuwepo mwaka 1996 wastan wa asilimia
75 ya miradi hiyo ipo maeneo ya vijijini,na ambayo asilimia kubwa haifanyi
kazi,kwa kutumia makadirio ya idadi ya watu kwa
mwaka 1996,watu millioni moja, laki tatu na sitini elfu, mia tatu na themanini,..ni watu laki tano
sabini na moja elfu mia sita kumi na moja
ambao hupata maji safi na salama
sawa na asilimia 42 ya watu wote,
STANLEY MSIGWA KUTOKA
DODOMA EMETEMBELEA KIJIJIN CHA MSISI ILI KUANGALIA UKUBWA WA TATIZO HILO
NA CHANGAMOTO ZAKE.NA KUAANDAA HABARI IFUATAYO ISIKILIZA NA UIDOWNLOAD…..
0 comments:
Post a Comment