Tanzania Anthem

Sunday, 22 March 2015

MIAKA 10 MAJI TATIZO

VISIMA-VYA-MAJI
Baadhi ya wakazi wakichota maji katika kisima.Picha Na maktaba
 
Na Agnes Munubi-katavi 

Wananchi wa kata ya Kasokola halmashauri ya Nsimbo wameiomba serikali kuwachimbia visima virefu vya maji.

Sauti ya katavi/mtanda huu iliwatembelea wananchi kata ya kasokola katika halmashauri ya nsimbo na kusema kuwa kata hiyo wanakabiliwa na uhaba mkubwa wa maji na kusababisha kufata maji takribani kwa masaa nne huku kujiji hicho kina chanzo cha maji kinachopeleka maji mjini mpanda.

 Sauti ya katavi na Mtandao huu imefanya jitihada za kumpata Diwani wa kata hiyo Chrisant Mwanawima ambapo amekili kuwepo uhaba wa maji katika kata hiyo zaidi ya miaka kumi huku kata hiyo inachanzo cha maji Mto Manga kinachopeleka maji mjini Mpanda.  

Share:

0 comments:

Post a Comment

Blog Archive