Tanzania Anthem

Friday, 20 March 2015

TMF USO KWA USO NA SAUTI YA KATAVI>>

Mwakilishi kutoka mfuko wa vyombo vya habari Tanzania (TMF)Alex Kanyambo.Picha na Stanley Msigwa
Mwakilishi kutoka mfuko wa vyombo vya habari Tanzania (TMF)Alex Kanyambo.Picha na Stanley Msigwa

 Hivi Ndivyo Hali Inavyoendelea Katika Kikao Kinachoendelea Baina Ya Waandishi Wa  Mpanda Radio Fm(Sauti Ya Katavi)  Chini Ya Mkurugenzi Mtendaji,Amini Mitha,Meneja ,Prosper Kwigize,Na Mshauri Na Mahusiano, Leonard Chikoti,Na Wawakilishi Kutoka Mfuko Wa Vyombo Vya Habari Tanzania TMF(Tanzania Media Fund)Bwana Alex Kanyambo na Mwanzo Millinga.

SAM_0914
Bw.Mwanzo Millinga mshauri wa mpanda radio Fm kutoka TMF wa Kwanza Kushoto.Picha Na Stanley Msigwa 

Na hii ni Kutathimini Ni Kiasi Gani Mwananchi Ananufaika KuwePo Kwa Redio Yake Pendwa 
SAM_0928

prosper Laurent Kwigize Meneja wa Mpanda radio wa Kwanza Kushoto Akiandaa Jambo Katika Kikao.picha na Stanley Msigwa


Pamoja Na Kujiwekea Mikakati Bora Kwa Ajili Ya Kumufaisha Na Kumtumikia Mwananchi Ikiwa Na Dhamira Ya Kuwa Kiunganishi Kati Ya Mwananchi Na Serikali Katika Kutatua Changamoto Za Wananchi.  

SAM_0916
M iongoni mwa wafanyakazi walio hudhulia kikao hicho,Picha Na Stanley Msigwa.

 Aidha Katika Kukidhi Ile Adhima Ya Kuwa Chombo Bora Kabisa Kwa Kanda Ya Kusini Magharibi Kwenye Kumtumikia Mwananchi Na kuandaa vipindi bora vya jamii. Kama mwananchi acha maoni yako kwa jinsi Mpanda radio Fm inavyochochea Maendeleo Katika Jamii. 

Share:

0 comments:

Post a Comment

Blog Archive