MUSIC:BEX WAMUSIC-NISAMEHE DOWNLOAD AND LISTEN
kutoka kwa Msanii Bex wa Music Kakusogezea audio Hii hapa.Nisamehe Imetayarishwa na Dir Shack..
MAPENGO YA SHERIA ZA USALAMA BARABARANI.(Mzee Wa Info)
Muungano wa asasi za kiraia unaoshawishi, kuimarishwa kwa mazingira ya sheria na sera ya usalama barabarani..
NEW MUSIC:RYCHRIS-SHUKA BWANA--GOSPLE-DOWNLOAD
MWIMBAJI WA MZIKI WA INJILI RUMISHAEL ULOMI (RYCHRIS) KWA SASA AMEKUSOGEZEA KAZI HII MPYA YA SHUKA BWANA..
AUDIO:WAJUE GENEOUS WAVUMBUZI WA 3G,4G ..(Mzee wa Info)
The giniazi(Geneous) ndo muda wake kwa sasa Mzee wa Info nakusogezea majiniazi wa vitu mbalimbali huku ulimwenguni
CHANZO CHA ZERO SHULE ZA MSINGI HIKI HAPA..SIKILIZA NA DOWNLOAD..
Ugumu wa soko la Ajira si tatizo la Tanzania pekee bali karibia mataifa yote ulimwenguni yanakumbana na changamoto hii,lakini tatizo ni kubwa zaidi kwa mataifa ya ulimwengu wa tatu
Tanzania Anthem
Monday, 30 June 2014
Friday, 27 June 2014
MAJI TAKA MKOANI DODOMA YAGEUZWA NA KUTUMIKA NA WAKULIMA....
Na Stanley Msigwa
Kufuatia kauli ya
shirika la maji safi na maji taka pamoja
na usafi wa mazingira mkoa wa Dodoma DUWASA
kuwataka wakulima wa mboga katika bwawa la Swaswa kata ya Ipagala katika
manispaa ya Dodoma kusitisha shughuli hiyo kutokana na usalama kiafya, wakulima
wa eneo hilo watoa maoni juu ya kauli hiyo.
Wednesday, 25 June 2014
Monday, 23 June 2014
Friday, 20 June 2014
Thursday, 19 June 2014
Tuesday, 17 June 2014
Monday, 16 June 2014
PATA HABARI NZIMA YA DODOMA FM YA LEO HAPA
DODOMA
Wananchi pamoja na viongozi mbalimbali Mkoani Dodoma wametakiwa kutambua
umuhimu wa kuchangia damu salama ili
kuweza kuokoa maisha ya wagonjwa
wengine.
Wito huo umetolewa na Mganga Mkuu
wa Mkoa wa Dodoma Dr.Zainabu Chaula katika maadhimisho ya uchangiaji Damu
yaliyofanyika mwishoni mwa wiki ambapo amesema kuwa kumekuwa na vifo vingi vya
akina mama wajawazito wakati wa kujifungua hivyo ni vyema wananchi wajitokeze kuchangia damu.
Sunday, 15 June 2014
SOMA TAARIFA YA HABARI YA DODOMA FM HAPA
DODOMA
Wakulima wa manispaa ya Dodoma
wameiomba serikali kuboresha mfumo wa uendeshaji wa zoezi la sensa ya watu na makazi
Wakizungumza na Dodoma fm
wakulima wa mkoa wa Dodoma wamesema hawanufaiki chochote tangu kuanzishwa kwa mchakato huo wa sense ya watu na makazi.
Nae bw. Mafita maulid ameiomba serikali kuboresha
huduma mbalimbali za jamii iliwaweze kujua umuhimu wa sense.
Friday, 13 June 2014
DON JAZZY KAMWAJIRI MFANYAKAZI WA SHIRIKA LA NDEGE SOMA..
Mfanyakazi wa shirika la airline aliyefukuzwa kazi baada ya kumruhusu kuendesha gari dogo linalotumika kubeba mizigo (arport cart), kinyume cha sheria.
Don jazzy alifika katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa murtala mohammed, lagos nigeria wakati akielekea kwenye tuzo za mtv afrika kusini ambapo aliruhusiwa na mfanyakazi huyo kuendesha kigari hicho tena akiwa na mfanyakazi huyo pembeni.
WALIOPOTEA MALAYSIA FAMILIA ZAO KULIPWA
familia za abiria waliopotea na ndege ya malaysia wameanza kupokea malipo ya awali ya fidia ya dola elfu 50 kila mmoja.
mpaka sasa, familia sita kutoka malaysia na moja ya china wamepokea fedha hizo na makampuni ya bima yanadai kiasi cha fedha kwa familia 40 zaidi.
ndugu wa abiria wote 239 waliokuwa ndani ya ndege hiyo wanaweza kudai fedha taslimu takribani dola laki moja na elfu 75 kila mmoja.
ndege ya malaysia yenye namba mh370 ilipotea machi 8 mwaka huu wakati ikisafiri kutoka kuala lumpur hadi beijing ambapo hadi sasa haijapatikana.