Home »
New info
» TAZAMA MKWANJA WA MSHIND WA MTV DAVIDO KWA MWEZI

Huko Nigeria watu wanaowekeza kwenye muziki wameanza kuyaona matunda
yao hivi sasa ambapo kaka yake Davido ambaye pia ni mmiliki wa label HKN
record akiwa na Davido ameweka wazi kuwa Davido huingiza $50,000 (zaidi
ya Milioni 84) kwa show moja anayofanya.
Kwa Tanzania tumeanza kuona matunda ya muziki wa Bongo Flava kipindi
hiki kwa kuzingatia kuwa mwanzoni watu walikuwa wanalipwa hadi 50,000
kwa show moja lakini sasa wasanii wanachukua hata zaidi ya milioni 5 kwa
show ya ndani.
Anasema aliwekeza kiasi cha $50,000 katika label hiyo awali na sasa Davido anapiga kiasi hicho kwa show moja tu.
0 comments:
Post a Comment