mechi kati ya wabunge na Nmb dodoma
imefanyika hii leo katika uwanja wa jamhuri ambapo mpka mpira unaisha
Nmb ilikua inaongoza kwa magoli 2-0.
Mchezo huo ulikuwa ni wa kirafiki nalengo kuu la mchezo ni kuwa karibu kwa waheshimiwa na wapiga kura wao.
mechi hiyo pia imerushwa live na kituo cha
redio cha Dodoma Fm 98.4 na watangazaji Jalilo Matereka kutoka uwanja
wa Jamhuri Dodoma na Studio muongozaji alikuuwa ni Stanley msigwa na
Lucas godwin.
0 comments:
Post a Comment