
Kama umekuwa mfuatiliaji mzuri wa habari za burudani Tanzania,
utakuwa umekutana na taarifa za msanii Raheem Rummy Nanji aka Bob Junior
kutengana na mke wake Halima Ally baada ya kupata mtoto mmoja ndani ya
ndoa yao.
Katika maelezo yake bob kasema nyimbo ile ilivuja na sababu hazija julikana.
0 comments:
Post a Comment