uongozi wa Dodoma Fm unapenda kuwatangazia wapenzi waskilizaji wake wote ambao huwa wanasikiliza kwa njia ya mtandao yaani Online Audience.
kwa sasa web Site ya Radio Io chini ya Matengenezo hivo kutopatokana kwenye mktandao,na lengo kuu ikiwa ni kukuboreshea usikivu wewe msikilizaji wake....
Ahsante na Endelea Kusikiliza DODOMA FM RADIO kwa Masafa ya FM 98.4
Imetolewa na Utawala
0 comments:
Post a Comment