MUSIC:BEX WAMUSIC-NISAMEHE DOWNLOAD AND LISTEN

kutoka kwa Msanii Bex wa Music Kakusogezea audio Hii hapa.Nisamehe Imetayarishwa na Dir Shack..

MAPENGO YA SHERIA ZA USALAMA BARABARANI.(Mzee Wa Info)

Muungano wa asasi za kiraia unaoshawishi, kuimarishwa kwa mazingira ya sheria na sera ya usalama barabarani..

NEW MUSIC:RYCHRIS-SHUKA BWANA--GOSPLE-DOWNLOAD

MWIMBAJI WA MZIKI WA INJILI RUMISHAEL ULOMI (RYCHRIS) KWA SASA AMEKUSOGEZEA KAZI HII MPYA YA SHUKA BWANA..

AUDIO:WAJUE GENEOUS WAVUMBUZI WA 3G,4G ..(Mzee wa Info)

The giniazi(Geneous) ndo muda wake kwa sasa Mzee wa Info nakusogezea majiniazi wa vitu mbalimbali huku ulimwenguni

CHANZO CHA ZERO SHULE ZA MSINGI HIKI HAPA..SIKILIZA NA DOWNLOAD..

Ugumu wa soko la Ajira si tatizo la Tanzania pekee bali karibia mataifa yote ulimwenguni yanakumbana na changamoto hii,lakini tatizo ni kubwa zaidi kwa mataifa ya ulimwengu wa tatu

Tanzania Anthem

Friday, 31 July 2015

MAKUBWAAAA!!!! INASIKITISHA SANA, KIGOGO AMTELEKEZA MKEWE MWENYE WATOTO 3 KISA KAISHIA DARASA LA SABA.

Na Mwandishi Wetu

MDAI katika kesi ya madai ya talaka na mgawanyo wa mali Magreth Mwangumkazi wa Mkoani Singida dhidi ya Mkurugenzi wa Shule za sekondari zaSt.Mathew na St Marks Thadei Mtembei amelalamikia kitendo cha Benki yaCRDB kutoa taarifa zake za benki bila idhini yake wala ya mahakama.

Share:

Tuesday, 28 July 2015

MUSIC:ROBY MAVOKO FT H STAR-NANI KWA AJILI YANGU DOWNLOAD

Track inaitwa Nani Kwa Ajili Yangu,imeibwa na Roby mavoko Ft H-Star,imetengenezwa kwa Sindano Jada Rec.
Download na Sikiliza Hapa.

Share:

RIGANGA NA MCHUCHUMA KUAJIRI ZAIDI YA 33,000.

Na Prosper Mfugale_Njombe.
Idara ya Uhamiaji nchini imejipanga kukabiliana na wahamiaji kutoka nje ya nchi wanaokuja kufuata fursa za uwekeza katika migodi ya madini ya makaa ya mawe Nchuchuma na  Liganga wilayani Ludewa mkoani Njombe.
Share:

AUDIO:ROBY MAVOKO FT MAJALEE-ME AND U DOWNLOAD&LISTEN

DOWNLOAD HAPA WIMBO WA ROBY MAVOKO KUTOKA 3BOYZ KATAVI. MZIGO UNAITWA ME AND U AMEMSHIRIKISHA MAJALEE.
 DOWNLOAD NA SIKILIZA HAPA CHINI>
Share:

Thursday, 23 July 2015

NSIMBO YAMEGEKA RASMI(SAUTI) SIKILIZA HAPA>>

Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo mkoani katavi,itakosa baadhi ya Miradi ya maendeleo iliyokuwa ikizisimamia kutokana na kugawanywa kwa maeneo mapya  ya Utawala ya halmashauri hiyo.
SIKILIZA HAPA CHINI>>
Share:

Monday, 20 July 2015

DR.MSENGI LAZIMA TUSHIRIKIANE KUTOKOMEZA UHARIFU(AUDIO)SIKILIZA HAPA

Imeelezwa Kuwa Ushirikishwaji Wa Kila Mtu Ndani Ya Mkoa Wa Katavi Utapelekea Kupungua Tatizo La Uharibifu Wa Mazingira. 

SIKILIZA HAPA SAUTI NZIMA>>
Share:

Saturday, 18 July 2015

(SAUTI) HATIMAYE KERO YA MADARASA KUPUNGUA KISASI

IMEELEZWA kuwa ujenzi wa vyumba vitatu vya madarasa katika shule ya msingi Igalula unatarajia kupunguza adha ya uhaba wa madarasa katika shulez za msingi wilayani mpanda mkoani katavi. SIKILIZA NA DOWNLOAD HAPA>>.
Share:

MATUKIO YA SIKU NZIMA (SAUTI) DOWNLOAD NA SIKILIZA

kama haukuwa karibu na vyombo vya habari leo haya hapa matuko ya siku nzima kwa sauti karibu na usikilize.
 download na sikiliza>>

Share:

Wednesday, 15 July 2015

HABARI PICHA::WAKATI WA SWALA YA JIONI PAMOJA FUTARI AKIWA MKUU WA MKOA NA WENGINE.

MKUU wa Mkoa wa Katavi Dk. Ibrahim Msengi amesisitiza kuwepo kwa amani, upendo na ushirikiano kwani itakuwa ni fursa nzuri kwa watu kufanya shughuli za maendeleo.
Share:

Friday, 10 July 2015

MWENGE WASABABISHA BARABARA ZIKARABATIWE


Ukarabati wa barabara ya mto kasimba umeenza kutokana na ujio wa mwenge wa uhuru july 20  mwaka huu.
Share:

Thursday, 9 July 2015

AUDIO:WAMETAKIWA KUWA WAVUMILIVU ILI KAPATA ZAIDI SIKILIZA HAPO MAHOJIANO

Wakazi wa msasani manspaa ya mpanda wametakiwa kuwa wavumilivu wakati huu ambapo serikali ya mtaa ikisubiri majibu kutoka kikao cha maendeleo ya kata WADC juu ya kupimiwa viwanja vya biashara Mwenyekiti wa mtaa huo amezungumza na mtandao huu mapema asubuhi hii..
SIKILIZA NA DOWNLOAD SAUTI.
Share:

Wednesday, 8 July 2015

AUDIO:BARACKA DA PRINCE FT RUBY--NIVUMILIE

BARACKA DA PRINCE BAADA YA KUSHINDA TUZO YA MSANII CHIPUKIZI SASA KARUDI TENA NA MZIGO MPYA AKIWA AMEMSHIRIKISHA MWANADADA RUBY UNAITWA NIVUMILIE UMETENGENEZWA NA MAPRODYUZA WATATU,NUSDER,LOL POP NA KIDBOY.
 DOWNLOAD NA SIKILIZA HAPA>>
Share:

NEW MUSIC:MWANA FA,NICK WA PILI,ASLAY CHRISTIAN BELLA,RUBY-TANZANIA MPYA-DOWNLOAD

WIMBO MPYA WA KUSHIRIKIANA MWANA FA,NICK WA PILI,ASLAY CHRISTIAN BELLA,RUBY,NA WENGINE UNAITWA TANZANIA MPYA.
 DOWNLOAD NA SIKILIZA HAPA>>
Share:

Tuesday, 7 July 2015

WAASWA KUTOA TAARIFA WANAPOKUBWA NA MATATIZO.

Na Stanley Msigwa-katavi

Wananchi Wametakiwa Kuto Kaa Kimya  Mara Wapatapo Matatizo Na Badala Yake Watoe Kwa Viongozi Wa Eneo Husika.

Share:

Saturday, 4 July 2015

NEW AUDIO:NEY WA MITEGO_SINA MDA-DOWNLOAD

BAADA YA MAPENZI AU PESA? ALIO MSHIRIKISHA DIAMOND PLATNUMZ NEY WA MITEGO KAKULETEA HIPHOP HII INAITWA SINA MDA
 DOWNLOAD &LISTEN >>
Share:

NEWS& AUDIO:WABUNGE 35 WAPIGWA MARUFUKU KUHUDHURIA VIKAO SIKILIZA HAPA.


HAWA NDIO WABUNGE WALIOSIMAMISHWA KWA SIKU TANO KUHUDHURIA VIKAO VYA BUNGE MJINI DODOMA KUTOKA NA VURUGU ZILIZOTOKEA, KWA MJIBU WA KAMATI YA MAADILI YA BUNGE MSIKILIZE PIA SPIKA WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MH ANNE SEMAMBA MAKINDA AKIJIBIZANA NA WABUNGE BAADA YA KUTOA MAJIBU YASIYO WARIDHISHA>
Share:

AUDIO:KILICHOJILI BUNGENI MPAKA KUAHIRISHWA,SIKILIZA HAPA>>

hii ndio sababu ya kuahirishwa kwa bunge siku mbili mfululizo
Download na  Sikiliza hapa>>

Share:

Thursday, 2 July 2015

BUNGE LAAHIRISHWA KWA MDA USIOJULIKANA.>>

.download
Na.Issack Gerald-Dodoma.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Anna Makinda,amesitisha vikao vya bunge la Tanzania kwa muda usiojulikana.
Share:

Wednesday, 1 July 2015

NEW MUSIC:STEVE BOY FT MAJALEE-NDOTO ZANGU.

SIKILIZA HAPA WIMBO MPYA WA STEVE BOY FT MAJELEE-NDOTO ZANGU UMETENGENEZWA CHINI YA VAN B ONJEN REC.
 DOWNLOAD NA SIKILIZA HAPA>>
Share:

AUDIO:SMILE SIMANZI-NIENDE NAWE

SIKILIZA HAPA MZIKI MPYA KUTOKA KWA MSANII CHIPUKIZI ANAITWA SIMILE SIMANZI NIENDE NAWE UMETENGENEZWA CHINI YA MTARAYARISHAJI VAN B.KATIKA STUDIO ZA ONJENI REC.
DOWNLOAD &LISTEN>>
Share:

Blog Archive