Home »
New info
» WAASWA KUTOA TAARIFA WANAPOKUBWA NA MATATIZO.
Na Stanley Msigwa-katavi
Wananchi Wametakiwa Kuto Kaa Kimya Mara Wapatapo Matatizo Na Badala Yake Watoe
Kwa Viongozi Wa Eneo Husika.
Hayo
Yamesemwa Na Diwani Wa Kata Ya Misukumilo Bwana Wiley Mbogo Kufuatia
Malalamiko Ya Baadhi Ya Wakazi Wa Kitongoji Cha Milupwa,Kutopimiwa Viwanja Na
Kudai Kuwa Vimewekewa Alama Kuonesha
Kuna Mtu Anaemiliki Maeneo Hayo.Bw.Mbogo Amewataka Wananchi Kwenda Kumuona Ili
Wasaidiwe Madai Yao Kwa Kufika Katika Ofisi Za Idara Ya Ardhi Ili Ufumbuzi
Unapotolewa Serikali Na Kusisitiza
Wahanga Wawasiliane Na Ofisi Yake.Aidha Ameonya Kuwa Masuala Ya Kitendaji
Yasisubiliwe Kutatuliwa Kisiasa Kwani Mwananchi Akisubiri Yashughulikie Na
Ofisi Yake Itatatua Kisiasa Na Sio Kiutendaji.
0 comments:
Post a Comment