Tanzania Anthem

Thursday, 2 July 2015

BUNGE LAAHIRISHWA KWA MDA USIOJULIKANA.>>

.download
Na.Issack Gerald-Dodoma.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Anna Makinda,amesitisha vikao vya bunge la Tanzania kwa muda usiojulikana.

Makinda amesitisha vikao hivyo baada ya Mbunge wa Jimbo la Ubungo, John Mnyika kuomba mwongozo juu ya uvunjaji wa kanuni za bunge kwa kuwekwa miswada mitatu kwa wakati mmoja.
Baada ya wabunge wa upinzani kuamriwa kwenda  nje ya bunge wamesimama na kukataa kutoka nje ya bunge ili kuzuia miswada kujadiliwa.

Miswada mitatu iliyotakiwa kujadiliwa ni 

1.Muswada juu ya Petroli, 2015 (The Petroleum Act, 2015)
2.Muswada juu ya Usimamizi wa Mafuta na Gesi, 2015 (TheOILhttp://cdncache-a.akamaihd.net/items/it/img/arrow-10x10.png and Gas Revenues Management Act, 2015)
3.Muswada juu ya tasnia ya Uziduaji Tanzania (The Tanzania Extractive Industries Act, 2015): The Tanzania Extractive Industries Act, 2015.
Share:

0 comments:

Post a Comment

Blog Archive