MUSIC:BEX WAMUSIC-NISAMEHE DOWNLOAD AND LISTEN

kutoka kwa Msanii Bex wa Music Kakusogezea audio Hii hapa.Nisamehe Imetayarishwa na Dir Shack..

MAPENGO YA SHERIA ZA USALAMA BARABARANI.(Mzee Wa Info)

Muungano wa asasi za kiraia unaoshawishi, kuimarishwa kwa mazingira ya sheria na sera ya usalama barabarani..

NEW MUSIC:RYCHRIS-SHUKA BWANA--GOSPLE-DOWNLOAD

MWIMBAJI WA MZIKI WA INJILI RUMISHAEL ULOMI (RYCHRIS) KWA SASA AMEKUSOGEZEA KAZI HII MPYA YA SHUKA BWANA..

AUDIO:WAJUE GENEOUS WAVUMBUZI WA 3G,4G ..(Mzee wa Info)

The giniazi(Geneous) ndo muda wake kwa sasa Mzee wa Info nakusogezea majiniazi wa vitu mbalimbali huku ulimwenguni

CHANZO CHA ZERO SHULE ZA MSINGI HIKI HAPA..SIKILIZA NA DOWNLOAD..

Ugumu wa soko la Ajira si tatizo la Tanzania pekee bali karibia mataifa yote ulimwenguni yanakumbana na changamoto hii,lakini tatizo ni kubwa zaidi kwa mataifa ya ulimwengu wa tatu

Tanzania Anthem

Thursday, 30 April 2015

A.KUSINI LIMEWADONDOKEA TENA HILI.>

Imethibitika leo kuwa Rais wa afrika ya kusini Jacob Zuma alitia saini siku mbili zilizopita sheria mpya itakayoruhusu kupigwa muhuri wa maandishi kwenye sehemu nyeti za waathirika wa maradhi ya ukimwi nchini humo.

Share:

Tuesday, 28 April 2015

DR SHEIN KUZINDUA MBIO ZA MWENGE KESHO!

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ally Mohamed Shein atazindua kesho mbio za mwenge wa Uhuru katika sherehe zitakazofanyika Manispaa ya Songea Mkoani Ruvuma.

Share:

HUYU NDIYE DAVIDO WA MWAKA 2015


HUU NDIO UJIO WA HITMAKER WA SKELEWU NA AYE!! DAVID ADELEKI A.K.A DAVIDO.

Share:

Monday, 27 April 2015

WATCH & DOWNLOAD ERIC OMOND-NABEBA MAWE

MUIGIZAJI KUTOKA NCHINI KENYA KWA MARA NYINGINE TENA MARA BAADA YA KUTOA REMIX YA MY NUMBER 1 YA DIAMOND PLATNUMZ SASA AMEKUJA NA HII

Share:

Monday, 20 April 2015

WATZ WAREJESHWA KUTOKA A.KUSINI>>

SERIKALI itawarejesha nyumbani raia 21 waishio kwenye kambi za hifadhi chini afrika ya kusini katika hatua yake ya kukabiliana na wasiwasi wa kushambuliwa kutokana na vurugu za chuki dhidi ya wageni zinazoendelea nchini humo.

Share:

Tuesday, 14 April 2015

97.0MHz TOP 20 KAMA ULIZIKOSA HIZI HAPA>>


KAMA ULIIMISS SHOW YA MP_TOP20_CHAT NDANI YA KITUOCHAKO BORA CHA MATANGAZO KWA KANDA YA KUSINI MAGHARIBI MWA TANZANIA HII HAPA AMBAYO HUHESABIWA KILA JUMA PILI KUANZIA SAA NNE 22:00 MPAKA SAA SITA 00:00 USIKU.
NA KINAENDESHWA NA MTANGAZAJI NGULI WA KKITUO HICHO MSIGWA STANLEY
NA WIKI HII ILIKUWA  KAMA HIVI>>>
Share:

Tuesday, 7 April 2015

DOWNLOAD NEW AUDIO MAN T MKALI-SAGALA


MKALI MARTIN JOHN A.K.A MAN T MKALI AMEKUJA NA MZIGO MPYA HUU AMBAO UNAJULIKANA KWA JINA ''SAGALA''AMBALO NI KILUGHA KINACHO MAANISHA SIO VIZURI. DOWNLOAD NA SIKILIZA HAPA>>
Share:

Thursday, 2 April 2015

KIKOSI CHA MAANGAMIZI DHIDI YA FC PLUTNUM,SITA WATEMWA.


Basi Lililobeba Mashabiki Wa Yanga Wanaokwenda Kuishangilia Timu Yao Keshokutwa, Tayari Limewasili Nchini Zimbabwe.


Share:

Wednesday, 1 April 2015

KIDAVASHARI:SHEREKEA KWA AMANI PASAKA


 kamanda wa pilisi mkoa wa katavi dhahiri Kidavashari.picha na maktaba 

Na Agnes Mnubi_katavi 

 Jeshi la Polisi Mkoani Katavi limewataka wananchi kusherekea sikukuu ya pasaka kwa amani na utulivu.

Share:

NEW AUDIO:ADJAST FT BEST NASSO-MOYO WANGU PUMZIKO

KWA MARA NYINGINE TENA MWANADADA PEKEE ANAEFANYA BONGO FLAVA KWA MKOA WA KATAVI ADJAST A.K.A SHEMEJI KUTOKA KWA HEAT MAKER WA TRACK YA KESHA-MTU MZIMA HR.
Share:

DOWNLOAD & LISTEN MAN T MKALI FT B20 &P MAN-NDOTONI

ANAITWA MATRIN JOHN UJIO WAKE MPYA HUU MARA BAADA YA KUFANYA VIZURI NA TRACK ZAKE KAMA SAGALA,BINADAM NA NYINGINE.

Share:

Blog Archive