Tanzania Anthem

Tuesday, 14 April 2015

97.0MHz TOP 20 KAMA ULIZIKOSA HIZI HAPA>>


KAMA ULIIMISS SHOW YA MP_TOP20_CHAT NDANI YA KITUOCHAKO BORA CHA MATANGAZO KWA KANDA YA KUSINI MAGHARIBI MWA TANZANIA HII HAPA AMBAYO HUHESABIWA KILA JUMA PILI KUANZIA SAA NNE 22:00 MPAKA SAA SITA 00:00 USIKU.
NA KINAENDESHWA NA MTANGAZAJI NGULI WA KKITUO HICHO MSIGWA STANLEY
NA WIKI HII ILIKUWA  KAMA HIVI>>>


#12-04-2015 TOP 20 MPANDA RADIO

1. RICH MAVOKO-PACHA WANGU.
WIMBO UNAWIKI TANO NDANI CHAT NA UMESHIKA NAMBA MOJA KWA WIKI TATU MFULULIZO


2 CHRIS BROWN FT TYGA=AYO.

mzigo unawiki tano na Umeshika namba mbili kwa Wiki 3 ,,,ni kutoka katika albumu ya X ya mwaka 2014

3. Hr ft Apollo=kesha…..BY VAN B 
mzigo unawiki Tano nao na kwa wiki ya kwanza umeshika namba 3 kutoka nafasi ya saba wiki lililopita.

4. AY-ZIGGO
Wiki ya tano katika chati na bado inaendelea kuganya vizuri japo imeshuka kutoka namba tatu handi namba nne this week!!!

5. YOUNG KILLER FT FID Q= 13 KUMI NA TATU
Audio inafanya vizuri media mbalimbali hapa nchini na katika chati inazaidi ya wiki5 ambapo imeshuka kwa sasa mpaka namba 5 kutoka namba 4

6. BEN PAUL=SOPHIA
miongoni mwa ngoma zenye jina kubwa kwa sasa baada ya kutolewa cover remix mbili

7. DIAMOND PLUTNUMZ-NITAMPATA WAPI .
ngoma ina wiki zaidi ya tano na imeshika namba moja kwa wiki mbili mfululizo sasa imeanza kushuka ,


8. JUX-NIKUITE NANI 
inawiki tatu katika chati na sasa inafanya vizuri zaidi.

9. MKUBWA NA WANAWE =NITAKUPWELEPWETA
miongoni mwa bend zinazosumbua sana tangu kuanzishwa kwake na inabebwa na vijana wachanga tu wanne

10. NEY WA MITEGO-AKADUMBA
miongoni mwa watu walio pata mafanikio kwa mda mfupi kutoka na kuimba pamoja na kuchana na ina wiki 5 kwenye chati ila inashuka kutoka nafasi ya 6 mpka ya 9.
BAADA YA HIZO KUMI ZA JUU ZIPO KUMI ZA CHINI KAMA HIZI ILI KUKAMILISHA ISHIRINI.


11. LINEX FT DIAMOND—SALIMA…

12NICK WA PILI, JOHN MAKIN, VANESSA MDEE ND JUX=SAFARI

13 CASSIM FT CHRISTIAN BELLA--SUBIRA

14. KALLA JERIMIAH FT ROMA-NCHI YA AHADI

15. TREY SONGZ-SLOW MOTION…

16. FID Q FT P-FUNK MAJANI-BONGO HIP HOP

17. ALIKIBA=CHEKECHA CHEKETUA
 
18. DARASA FT NEY WA MITEGO =TUNAISHI
19. ANNUARY FLAVOUR=DANCE PARTY


20. ADJAST FT BEST NASO-MOYO WANGU PUMZIKO.
Share:

0 comments:

Post a Comment

Blog Archive