Tanzania Anthem

Tuesday, 28 April 2015

HUYU NDIYE DAVIDO WA MWAKA 2015


HUU NDIO UJIO WA HITMAKER WA SKELEWU NA AYE!! DAVID ADELEKI A.K.A DAVIDO.



  MWAKA HUU ANAKUJA NA ALBAM AMBAYO ITAKUWA NA NYIMBO KAMA ISHIRINI HIVI AMBAZO WATU MBALI MBALI,KAMA TREY SONGZ,MICK MILL,NA KUTOKA AFRIKA MAGHARIBI MNYAMWEZI AMBAE ANADILI LA KUREKODI NA MTANZANIA MAYUNGA MSHINDI WA SHINDANO LA AIRTEL TRACE STAR SI MWINGINE NI AKON.

 HAPA CHINI NI PICHA YENYE LIST YA NYIMBO HIZO>>

Share:

0 comments:

Post a Comment

Blog Archive