MUSIC:BEX WAMUSIC-NISAMEHE DOWNLOAD AND LISTEN

kutoka kwa Msanii Bex wa Music Kakusogezea audio Hii hapa.Nisamehe Imetayarishwa na Dir Shack..

MAPENGO YA SHERIA ZA USALAMA BARABARANI.(Mzee Wa Info)

Muungano wa asasi za kiraia unaoshawishi, kuimarishwa kwa mazingira ya sheria na sera ya usalama barabarani..

NEW MUSIC:RYCHRIS-SHUKA BWANA--GOSPLE-DOWNLOAD

MWIMBAJI WA MZIKI WA INJILI RUMISHAEL ULOMI (RYCHRIS) KWA SASA AMEKUSOGEZEA KAZI HII MPYA YA SHUKA BWANA..

AUDIO:WAJUE GENEOUS WAVUMBUZI WA 3G,4G ..(Mzee wa Info)

The giniazi(Geneous) ndo muda wake kwa sasa Mzee wa Info nakusogezea majiniazi wa vitu mbalimbali huku ulimwenguni

CHANZO CHA ZERO SHULE ZA MSINGI HIKI HAPA..SIKILIZA NA DOWNLOAD..

Ugumu wa soko la Ajira si tatizo la Tanzania pekee bali karibia mataifa yote ulimwenguni yanakumbana na changamoto hii,lakini tatizo ni kubwa zaidi kwa mataifa ya ulimwengu wa tatu

Tanzania Anthem

Tuesday, 23 December 2014

DODOMA;HATUTAKI TIKETI WASIKILIZE HAPA>>


Licha ya serikali kuweka sheria kali dhidi ya watu wanakatisha ndoto za wanafunzi wa kike kwa kuwapa ujauzito,na  kuharibu malengo yao,imetajwa kuwa tatizo bado ni kubwa kutokana na wanafunzi kuendelea kupata ujauzito wakiwa shuleni tena katika umri mdogo.

Share:

Thursday, 18 December 2014

KIMBEMBE CHA SHULE YA MSINGI MKURABI.SIKILIZA HAPA


Ili kufanikisha azima ya serikali juuu ya elimu hususani Matokeo Makubwa sasa.BRN serikali imejipanga kutatu changamoto za elimu kwa kila shule,Lakini Licha ya Jitihada hizo za serikali bado shule nyingi zinakabiliwa na changamoto mbalimbali.

Share:

Tuesday, 16 December 2014

KISIMA CHA MAAJABU CHA TOA MAJI MSISI SIKILIZA NA UIDOWNLOAD

Licha ya serikali kutekeleza  na kuweka mikakati mbalimabli ili kuhakikisha jamii inapata maji safi na salama lakini baadhi ya maeneo hususani vijijin bado huduma ya maji ni changamoto kubwa, kwa mjibu wa  tafiti zilizotolewa na ofisi ya  mipango kazi kwa kushirikiana na ofisi ya mkkuu wa mkoa wa Dodoma.zinasema tatizo hili huwa kubwa sana wakati wa kiangazi.

Share:

Thursday, 11 December 2014

(TAKUKURU);MPOKEA RUSHWA KWENYE UCHAGUZI ANACHO.

Na Martha magawa  ...Dodoma 
Wakati kampeni za uchaguzi  wa serikali za mitaa zinaelekea ukingoni Taasisi Ya Kuzuia Na Kupambana Na Rushwa (TAKUKURU) Imewataka wananchi kutojihusisha na masuala mazima ya kupokea rushwa.
Share:

Wednesday, 10 December 2014

NEW AUDIO"TUNDAMAN=ACHANA NA MIMI DOWNLOAD

Ujio mpya kutoka kwa khalid ramadhan 'tundaman'mara baada ya msambinungwa na sasa amerejea na nyimbo mbili tofauti zilizofanywa  maproduzya wawili tofauti.

nyimbo ya kwanza ni walewale imefanywa kw Maneck-AM records na ya pili ni Achana na mimi chaina ya Messen Selekta.studio za defatality music.
Hii hapa ni  Achana na mimi sikiliza na uidownload. 

Share:

KIBONZO CHA LEO NI UHALISIA,,,,BOFYA HAPA>>>

Uhalisia wa maisha kwa mtanzania ndo huu hapa licha ya ksuifika na sifa lukuki kwa mataifa mbalimbali,lakini maisha ya mwananchi wa kawaida ndo haya....

Share:

Saturday, 6 December 2014

KUJUA SHERIA ZA KANI NI MHIMU!! SOMA ZAIDI

Waajiri na waajiriwa wametakiwa kutambua haki zao katika maeneo yao ya kazi ili kuepukana na matatizo yasiyo ya msingi yanayojitokezea baina ya muajiri na muajiriwa

Share:

Blog Archive