MUSIC:BEX WAMUSIC-NISAMEHE DOWNLOAD AND LISTEN

kutoka kwa Msanii Bex wa Music Kakusogezea audio Hii hapa.Nisamehe Imetayarishwa na Dir Shack..

MAPENGO YA SHERIA ZA USALAMA BARABARANI.(Mzee Wa Info)

Muungano wa asasi za kiraia unaoshawishi, kuimarishwa kwa mazingira ya sheria na sera ya usalama barabarani..

NEW MUSIC:RYCHRIS-SHUKA BWANA--GOSPLE-DOWNLOAD

MWIMBAJI WA MZIKI WA INJILI RUMISHAEL ULOMI (RYCHRIS) KWA SASA AMEKUSOGEZEA KAZI HII MPYA YA SHUKA BWANA..

AUDIO:WAJUE GENEOUS WAVUMBUZI WA 3G,4G ..(Mzee wa Info)

The giniazi(Geneous) ndo muda wake kwa sasa Mzee wa Info nakusogezea majiniazi wa vitu mbalimbali huku ulimwenguni

CHANZO CHA ZERO SHULE ZA MSINGI HIKI HAPA..SIKILIZA NA DOWNLOAD..

Ugumu wa soko la Ajira si tatizo la Tanzania pekee bali karibia mataifa yote ulimwenguni yanakumbana na changamoto hii,lakini tatizo ni kubwa zaidi kwa mataifa ya ulimwengu wa tatu

Tanzania Anthem

Saturday, 29 October 2016

TULIPO SIPO-TUJITATHIMINI-VIDEO


UKianza kutafakari kwa kina maelezo aliyoyatoa wiki hii Daktari Charles Masonde wa NECTA Utagundua Kuwa Wasomi Uchwara Tulio nao Wanatengezwa na Uroho wa Pesa na Sifa Kwa UMMA,
Mkururu wa Maelezo aliyotoa Katibu Mtendaji wa NECTA Dr Masonde Utagundua Kuwa Matokeo ya mitihani Kila yanapotoka Shule za watu binafsi ama Asasi zisizo Za serikali ndo zinaongoza Kufaulisha.

Share:

Friday, 21 October 2016

MUSIC:BEX WAMUSIC-NISAMEHE DOWNLOAD &LISTEN

kutoka kwa Msanii Bex wa Music Kakusogezea audio Hii hapa.Nisamehe Imetayarishwa na Dir Shack Audio na Video yake.

Download & Listen   Audio.


Share:

AUDIO:NEEMA YATUA KWA WAKULIMA WA ORIA HUKO KAHE.

Wakulima wa kijiji cha Oria Kata ya Kahe Magharibi mkoani Kilimanjaro wameondokana na adha ya maji baada ya kuundwa umoja wa watumia maji watakaosimamia skimu za umwagiliaji.

Share:

AUDIO:MILA POTOFU ZINAMKANDAMIZA MWANAMKE,MAOMBI KWA SERIKALI

Serikali imeombwa itoe elimu kuhusu mila potofu ambazo zinamkandamiza mwanamke na kumfanya akose haki zake za msingi.

Share:

Friday, 14 October 2016

NEWS:MJUE ALIYE TOA WAZO LA KUHAMIA DODOMA

Leo katika kumbukizi ya HAYATI Mwal.J.K.Nyerere ,Acha mimi nimuenzi kwa kukumbuka jitihada za serikali yake kutaka kuhamia Dodoma jambo ambalo limeanza kutekelezwa kwa miaka 40’s mbele.

Share:

Tuesday, 11 October 2016

MUSIC:PILLAMA MC FT GESTRYDER-DUNIA-DOWNLOAD HAPA

JOINT MPYA KUTOKA KWA MKALI ANAEWAKILISHA KUNDI LA SWAHILI HIPHOP TOKA MBEYA HII HAPA INAITWA DUNIA KAITAYARISHA MTU MZIMA GACH PALE GREEN REC.

 KAMA UNAHITAJI KUFANYA INTERVIEW NA PILLAMA MC PIGA SIMU HII 0766009842 :

Share:

NEW:AUDIO &VIDEO-PILLAMA MC FT GESTRYDER-DUNIA LYRICS

KUTOKA MBEYA GREEN CITY MSANII MAKINI KATIKA KIZAZI CHIPUKIZI CHA HIP HOP-PILLAMA MC  KAKUSOGEZEA MASHAIRI YA WIMBO WAKE KWA NJIA YA VIDEO WIMBO UNAITWA DUNIA UMETENGENEZWA CHINI YA GACHI-WA GREEN REC
NDANI YA MBEYA,NA KASHIRIKISHWA MWANADADA GESTRYDER.

Share:

Thursday, 1 September 2016

VIDEO & AUDIO TUKIO ZIMA LILILOTOKEA NJOMBE KUPATWA KWA JUA.TAZAMA HAPA>>



WAKATI KILA MMOJA LEO HII AKIZUNGUMZA LA KWAKE MITANDAONI BASI BILA HIYANA NA MIMI NIKAONA NI FURSA YAKO KUPATA UHALISIA WA JAMBO KWA WALIOKUWEPO ENEO LA TUKIO.
HUYU HAPA CHINI MTAALAMU WA MASUALA YA SAYANSI KUTOKA TMA NYANDA ZA JUU KUSINI ISSA HAMADI ANAKWAMBIA MPAKA MIKA 150 MBELE..... WAWEZA MTAZAMA MWENYEWE:

Share:

Audio:LIVE UPDATES kINACHOENDELEA MBEYA MDA HUU..SIKILIZA &DOWNLOAD

kwa kile ambacho kinatarajia kutokea kuanzia majira ya saa nne na dakika saba kwa za afrika masharika 10:07Am(EAT) .

Share:

Wednesday, 31 August 2016

Roby Tone Mavoko_nakuombea Dua=Download&Listen

msanii chipukizi katika mziki wa kizazi kipya bongo flava anaejulikana kama Roby Tone Mavoko kaja tena mzigo mpya huu hapa waweza download na kusikiliza hapa chini.

Share:

Monday, 8 August 2016

AUDIO:MAONESHO YA 8/8.2016 HAYANA UHALISIA NA MKULIMA/MFUGAJI_SOMA ZAIDI

Hii ni moja kwa moja toka viwanja vya  8/8 Arusha yanakofanyika kikanda  _na kutoka wilaya ya Hai mkoani kilimanjaro  nimekutana na Diwani wa Masama Kusini.

Share:

NEW MUSIC| TUNAFISH x MABANO BOB=MWENDO KASI DOWNLOAD & LISTERN


KIZAZI KIPYA CHA BONGO FLAVA WAMETUSOGEZEA MDUNDO WAO MPYA HUU UNAITWA MWENDO KASI.
BONGE MOJA LA JOINT IMETENGENEZWA NA ABA PROCESS ALIYETENGENEZA KAMA UTANIPENDA YA DARASA x RICH MAVOCO KANYONGA TENDA MDUNDO HUU.

WA MABANO BOB AKIPEWA SHAVU  NA TUNAFISH

DOWNLOAD NA USIKIE HAPA CHINI
Share:

DIWANI WA MASAMA MH,MASSAWE KAYAONGEA HAYA BAADA YA KUSHIRIKI 8/8/2016


Alicho kisema diwani wa masama kusini wilaya ya Hai Mkoani kilimanjaro mheshimiwa elingaya Massawe. Mara baada ya kushiriki maonesho ya 23 ya Nane nane yanayofika kilele leo kikanda jijini Arusha.
download msikilize hapa akizungumzia nane nane 2016.
Share:

Thursday, 7 July 2016

UHALIFU:WAWILI WABAKWA SIKU YA IDD MOSI-KILIMANJARO

kamanda wa polisi mkoa wa kilimanjaro wilbroad Mtafungwa kiri kuwepo kwa matukio ya ubakaji na kujeruhi katika usiku wa idd july 6 2016,Sikiliza mahojiano katika Sauti na Msigwa Stanley.

DOWNLOAD & SIKILIZA  HAPA CHINI.
Share:

Monday, 27 June 2016

RAMADHAN KAREEM-AUDIO JINGLE


ILIVYO ADA YA MWEZI MTUKUFU TUKULETEA HERI YA MWEZI HUU KWA NJIA YA RADIO AUDIO.

KARIBU NA USIKILIZE HAPA CHINI.
Share:

BRAND NEW RADIO JINGLE 2016-LISTEN & DOWNLOAD


2016 ILIVYOADA YA TIMU UHAKIKA INFO NI KUTENGENEZA MATANGAZO YA RADIO PAMOJA YA BIASHARA.

SASA TUMEKUSOGEZEA RADIO JINGLE HII  UNAWEZA KUISIKILIZA NA KUIPAKUA HAPA.
Share:

Wednesday, 8 June 2016

audio:ZITTO KABWE-ATHIBITISHA KUITWA POLISI AKAHOJIWE.

Kwa Mjibu wa Jeshi la polisi kanda maalum ya Dar es salaam limemuita Kiongozi mkuu wa chama cha ACT Wazalendo na Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe kwa mahojiano. 

Zitto Kabwe amethibitisha taarifa hiyo Msikilize hapa katika Audio Hii..

Share:

Sunday, 29 May 2016

TANGAZO LA NAFASI YA KAZI DJ ANATAFUTWA.

#‎TANGAZO LA KAZI


NAFASI YA KAZI RADIO DJ:


JINSIA YA KIUME/KIKE. Nafasi(1)

Share:

GOSPEL MUSIC-KALENGE:-MTAKATIFU BWANA DOWNLOAD &LISTEN

Michael kalenge mbali na Uhadhili wa Chuo Kikuu Kishiriki Cha mkwawa Iringa,anakipawa cha Kutangaza Injili kwa njia ya Kuimba,

Sasa Amekusogezea Wimbo wake Unaoitwa MTAKATIFU BWANA.

UNAWEZA KUDOWNLOAD NA KUSIKILIZA HAPA CHINI>>>
Share:

Saturday, 30 January 2016

AUDIO:BRAND NEW VOICE NAME-LISTEN AND DOWNLOAD

A brand new Voice name of  UHAKIKA INFO blogger has been released so you can download and listen it below.
He namely As Dj Single S.

Download And Listen Here. 
Share:

Blog Archive