Tanzania Anthem

Friday, 21 October 2016

AUDIO:NEEMA YATUA KWA WAKULIMA WA ORIA HUKO KAHE.

Wakulima wa kijiji cha Oria Kata ya Kahe Magharibi mkoani Kilimanjaro wameondokana na adha ya maji baada ya kuundwa umoja wa watumia maji watakaosimamia skimu za umwagiliaji.

Msikilize hapa Ripota wa nguvum Yasinta Simwita Akiripoti Taarifa nzima.

listen & Download.


Share:

0 comments:

Post a Comment

Blog Archive