NAFASI YA KAZI RADIO DJ:
JINSIA YA KIUME/KIKE. Nafasi(1)
Vigezo!!!!!!
✅AWE ANAJUA KUTANGAZA VIZURI VIPINDI VYA BURUDANI
✅AWE ANAJUA VIZURI KUTUMIA MASHINE YA DJ (TUNING TABLE)(NUMARK LP)
✅AAMBATANISHE NAKALA ZAKE ZA ELIMU.
✅ AWE MTANZANIA UMRI KATI (21-35)
🏿
🏾NAKALA ZA MAOMBI ZITUMWE KWENDA.
DEMO PEKEE.,Msigwastanley@gmail.comMWISHO WA MAOMBI NI TAR 30 MAY 2016MUARIFU NA MWENZAKO.
0 comments:
Post a Comment