Tanzania Anthem

Monday, 8 August 2016

AUDIO:MAONESHO YA 8/8.2016 HAYANA UHALISIA NA MKULIMA/MFUGAJI_SOMA ZAIDI

Hii ni moja kwa moja toka viwanja vya  8/8 Arusha yanakofanyika kikanda  _na kutoka wilaya ya Hai mkoani kilimanjaro  nimekutana na Diwani wa Masama Kusini.
Mheshimiwa Elingaya Massawe Na Mesekiri kuwa wanayoyaona katika maonesho ya Nane Nane 2016  hayana uhalisia katika vitendea kazi kwa mkulima pamoja na mfugani.

Msikilize kwa kina kwa dakika zake tatu hapa chini..


Share:

0 comments:

Post a Comment

Blog Archive