MUSIC:BEX WAMUSIC-NISAMEHE DOWNLOAD AND LISTEN

kutoka kwa Msanii Bex wa Music Kakusogezea audio Hii hapa.Nisamehe Imetayarishwa na Dir Shack..

MAPENGO YA SHERIA ZA USALAMA BARABARANI.(Mzee Wa Info)

Muungano wa asasi za kiraia unaoshawishi, kuimarishwa kwa mazingira ya sheria na sera ya usalama barabarani..

NEW MUSIC:RYCHRIS-SHUKA BWANA--GOSPLE-DOWNLOAD

MWIMBAJI WA MZIKI WA INJILI RUMISHAEL ULOMI (RYCHRIS) KWA SASA AMEKUSOGEZEA KAZI HII MPYA YA SHUKA BWANA..

AUDIO:WAJUE GENEOUS WAVUMBUZI WA 3G,4G ..(Mzee wa Info)

The giniazi(Geneous) ndo muda wake kwa sasa Mzee wa Info nakusogezea majiniazi wa vitu mbalimbali huku ulimwenguni

CHANZO CHA ZERO SHULE ZA MSINGI HIKI HAPA..SIKILIZA NA DOWNLOAD..

Ugumu wa soko la Ajira si tatizo la Tanzania pekee bali karibia mataifa yote ulimwenguni yanakumbana na changamoto hii,lakini tatizo ni kubwa zaidi kwa mataifa ya ulimwengu wa tatu

Tanzania Anthem

Monday, 28 July 2014

RUSHWA YAMALIZA MAZINGIRA KIJIJI CHA MAKULU.


Wakazi wa kijiji cha Hombolo Makulu Mkoani  Dodoma wameilalamikia Serikali ya kijiji kwa kushindwa kudhibiti  tatizo la  uharibifu wa mazingira  katika vyanzo vya maji .

Share:

Thursday, 24 July 2014

WANANCHI DODOMA WAILILIA DUWASA


Wakazi wa Manispaa ya  Dodoma wameulalamikia uongozi wa mamlaka ya maji safi na Usafi wa Mazingira DUWASA kwa kuwakatia maji ili hali wakijua wana hali ngumu   ya kiuchumi.
Share:

Friday, 18 July 2014

NCHIMBI; MKOA WA DODOMA UMESHAMBULIWA NA MBWA VICHAA!!


Mkoa wa Dodoma na wilaya zake unakabiliwa na tatizo  la  kuzuka kwa mbwa wenye ugonjwa wa kichaa wanaowadhuru wananchi na kuwasababishia  madhara  makubwa.

 

Hayo yamesemwa na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr. Rehema Nchimbi  alipokuwa akizungumza na Dodoma FM  katika Viwanja vya Nane nane ambapo amesema mpaka sasa takribani watu kumi huripoti  hospitali  kwa  siku  kutokana na kuumwa na mbwa  hao.

Share:

Thursday, 17 July 2014

MATOKEO YA UALIMU KWA 2014 HAYA HAPA!!

HAYA HAPA MATOKEO YA WALE WOTE WALIO CHAGULIWA KATIKA FANI/TAALUMA YA UALIMU KWA TZ MWAKA 2014 TAZAMA KWA KUBOFYA HAPO..

http://www.necta.go.tz/matokeo2014/ualimu.html

Share:

HUU NDIO UFAULU KWA KIDATO CHA SITA 2014 MATOKEO YOTE HAYA HAPA.


 Matokeo ya mtihani wa kidato cha 6 yaliyofanyika tarehe Mei 5 - 21, yametoka na jumla ya watahiniwa 30,225 sawa na asilimia 85.73 wamefaulu katika madaraja ya I- III.

Jumla ya watahiniwa 38,905 sawa na asilimia 95.98 ya watahiniwa waliofanya mtihani kidato cha 6 wamefaulu. Wasichana waliofaulu ni 12,080 na wavulana waliofaulu ni 26,825......

Share:

Saturday, 12 July 2014

SIKILIZA RAND NEW TRACK!!!!!!! RAS KIPARA FT DARK MASTER & DOUBLE Y=NJIWA

KAMA ULIKUWA HUJAWAHI MSIKILIZA HUYU JAMAA SASA NI FURSA YAKO KUISIKILZA SWEET RAGGAE YA MKALI KUTOKA DODOMA...

Share:

Friday, 4 July 2014

TAZAMA NEW VIDEO YA IBRA MAMBO-PRODYUZA FUNDI SAMWELI






KAMA UNAKUMBUKU NZURI IBRA MAMBO NI MIONGONI MWA WASANII WALIO FANYA VIZURI KWA BAADHI YA TRUCK ZAKE NYANDA ZA JUU KUSINI(IRINGA)
NA SASA YUPO MJINI DODOMA NA YUPO KATIKA REBO YA COCO RECO MJINI DODOMA...,,,,,,,,

Share:

ISIKILIZE NA UIDOWNLOAD HAPA SAFARI YA DJ SINGLE ILIVYOKUWA KATIKA STUDIO ZA COCO REC!!!

KA ILIVOADA YA DJ SINGLE S WA KITUO CHA RADIO CHA DODOMA FM 98.4 KUTEMBELEA STUDIO MBALIMBALI NA KUANGALIA CHANGAMOTO NA MATATIZO YA WASANII CHIPUKIZI MKOANI HAPO JINSI WANAVO HANGAIKA KUHAKIKISHA WANATOKA KIMZIKI...WIKI HII  AMETEMBELEA  STUDIO ZA COCO RECORDS ILIYOPO AREA 'A' MAENEO YA FM HOTEL STUDIO INAYO SIMAMIWA NA KUMILIKIWA NA ATHA ALBERT NA NIPRODUZA PIA.................................................COCO RECORDS NI STUDIO INAYOSEMEKANA KUWA NI YA KWANZA KUANZISHWA MKOANI DODOMA KULIKO YEYOTE UIJUAYO MKOANI HAPO...NA ILIANZISHWA MWAKA 2002 NA BAADAE KUFUNGWA MWAKA 2006 WAKATI MMILIKI HUYO AKIENDA KUPATA MASOMO NJE YA NCHI.

Share:

Wednesday, 2 July 2014

NEW!!!!!!!!!!!!! DOWNLOAD NA SIKILIZA WIMBO MPYA WA SNAIDA-MUHTASARI WA HABARI.BONGE


  Na stanley msigwa

BONGE MOJA LA JOINT KUTOKA KWA UPCOMING ARTIST KUTOKA SOUTHERN HIGH LAND(NYANDA ZA JUU KUSINI) MEANS  NJOMBE NCHI YA AHADI SALI NA MAZIWA.

Share:

Blog Archive