Home »
new audio
,
New video
» ISIKILIZE NA UIDOWNLOAD HAPA SAFARI YA DJ SINGLE ILIVYOKUWA KATIKA STUDIO ZA COCO REC!!!
 |
KA ILIVOADA YA DJ SINGLE S WA KITUO CHA RADIO CHA DODOMA FM 98.4 KUTEMBELEA STUDIO MBALIMBALI NA KUANGALIA CHANGAMOTO NA MATATIZO YA WASANII CHIPUKIZI MKOANI HAPO JINSI WANAVO HANGAIKA KUHAKIKISHA WANATOKA KIMZIKI...WIKI HII AMETEMBELEA STUDIO ZA COCO RECORDS ILIYOPO AREA 'A' MAENEO YA FM HOTEL STUDIO INAYO SIMAMIWA NA KUMILIKIWA NA ATHA ALBERT NA NIPRODUZA PIA.................................................COCO RECORDS NI STUDIO INAYOSEMEKANA KUWA NI YA KWANZA KUANZISHWA MKOANI DODOMA KULIKO YEYOTE UIJUAYO MKOANI HAPO...NA ILIANZISHWA MWAKA 2002 NA BAADAE KUFUNGWA MWAKA 2006 WAKATI MMILIKI HUYO AKIENDA KUPATA MASOMO NJE YA NCHI.
|
|
0 comments:
Post a Comment