Tanzania Anthem

Friday, 4 July 2014

TAZAMA NEW VIDEO YA IBRA MAMBO-PRODYUZA FUNDI SAMWELI






KAMA UNAKUMBUKU NZURI IBRA MAMBO NI MIONGONI MWA WASANII WALIO FANYA VIZURI KWA BAADHI YA TRUCK ZAKE NYANDA ZA JUU KUSINI(IRINGA)
NA SASA YUPO MJINI DODOMA NA YUPO KATIKA REBO YA COCO RECO MJINI DODOMA...,,,,,,,,


NA HII NDIYO VIDEO YAKE MPYA AMBAYO AMEIFANYA NA PRODUCER MZUNGU FUNDI SAMWEL..STUDIO ILIOPO KIBAHA NJE KIDOGO YA JIJI LA DAR ES SALAAM

VIDEO HII NI MIONGONI MWA ZILIZOACHIWA MARA BAADA YA KUTEMBELEWA NA DJ SINGLE S KATIKA STUDIO YA COCO RECORDS HII LEO



Share:

0 comments:

Post a Comment

Blog Archive