Magari yamekuwa sehemu muhimu ya maisha ya binadamu leo. Wanaotumia kila siku na mamilioni ya watu duniani kote. Kuna wastani wa magari 1,000,000,000 (bilioni 1) kwa makadirio ya mwaka 2010, ambapo kulikuwa na magari milioni 500 tu mwaka 1986. Idadi ambayo inaendelea kuongezeka kila uchwao. Idadi kubwa ya magari leo hupatikana nchini India na China.
Pamoja na ujio wa teknolojia, watu wamefanya kuwepo kwa aina tofauti za magari kwa matumizi mbalimbali.
KUJUA KWA UNDANI ZAIDI DOWNLOAD SAUTI HAPA..Mzee Wa Info.
0 comments:
Post a Comment