Tanzania Anthem

Thursday, 9 November 2017

SAUTI:SEHEMU YA KWANZA:MGUNDUZI WA ISONITE (Mzee Wa Info)

Historia ya Mvumbuzi Jumanne Mhero Ngoma, Mtoto Wa Mfugaji na mgunduzi wa madini adimu ulimwengu mzima ya ISONITE kwa sasa ni TANZANITE.
 Alizaliwa Katika Kijiji Cha Marwa mwaka, Wilaya Same Mkoa Wa Kilimanjaro, Wazazi Wake Walihamia Mererani Wakitokea Kijiji Cha Marwa Kwa Ajili Ya Kutafuta Malisho Ya Mifugo ,
kujua sehemu ya kwanza ya ugunduzi Huu fatilia kupia sauti Hii.




Download Audio Hapa.


Share:

0 comments:

Post a Comment

Blog Archive