Tanzania Anthem

Saturday, 14 January 2017

VIDEO:CHADEMA WAJA NA MPYA,KESI YA LEMA>>

Chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA,Baada ya vuta nikuvute mahakamani dhidi ya kesi ya Mbunge wa arusha mjini Godbless Lema.

 Leo kupitia kwa Mwanasheria wake, Tundu Lissu amesema chama hicho hakitanyamaza bali kitaongeza nguvu ya mawakili katika kesi ya mbunge Lema.


Unaweza Tazama Video Hii Hapa chini Kile Anachosema Lissu.




Share:

0 comments:

Post a Comment

Blog Archive