Home »
» UCHAMBUZI: JE NI SAWA KUMKARIRISHA MTOTO DARASA>>
MDAHALO.
JE? UONAVYO WEWE NI SAHIHI KUMKARIRISHA WANAFUNZI DARASA?
NA IKIWA JIBU LAKO NI NDIO UNADHANI MUAROBAINI WA UELEWA WA MWANAFUNZI???
HAPA CHINI NIMEKUWEKEA SAUTI YA WACHAMBUZI AMBAO WAMECHANGIA KATIKA MJADALA HUU.
WA KWANZA NI MICHAEL KALENGE MHADHIRI WA CHUO KIKUU CHA UWALIMU MKWAWA, NI (MCHAMBUZI) NA MSHIRIKI MWINGINE NI,
MWALIMU JAMES STEPHEN KATIYA MWALIMU KUTOKA CHARA MKOA WA RUKWA) NA MTU WA MWISHO NI HASSAN MSTAPHER (MZAZI).
WASIKILIZE KUPITIA AUDIO HAPA CHINI WAKILIDADAVUA..
0 comments:
Post a Comment