MUSIC:BEX WAMUSIC-NISAMEHE DOWNLOAD AND LISTEN

kutoka kwa Msanii Bex wa Music Kakusogezea audio Hii hapa.Nisamehe Imetayarishwa na Dir Shack..

MAPENGO YA SHERIA ZA USALAMA BARABARANI.(Mzee Wa Info)

Muungano wa asasi za kiraia unaoshawishi, kuimarishwa kwa mazingira ya sheria na sera ya usalama barabarani..

NEW MUSIC:RYCHRIS-SHUKA BWANA--GOSPLE-DOWNLOAD

MWIMBAJI WA MZIKI WA INJILI RUMISHAEL ULOMI (RYCHRIS) KWA SASA AMEKUSOGEZEA KAZI HII MPYA YA SHUKA BWANA..

AUDIO:WAJUE GENEOUS WAVUMBUZI WA 3G,4G ..(Mzee wa Info)

The giniazi(Geneous) ndo muda wake kwa sasa Mzee wa Info nakusogezea majiniazi wa vitu mbalimbali huku ulimwenguni

CHANZO CHA ZERO SHULE ZA MSINGI HIKI HAPA..SIKILIZA NA DOWNLOAD..

Ugumu wa soko la Ajira si tatizo la Tanzania pekee bali karibia mataifa yote ulimwenguni yanakumbana na changamoto hii,lakini tatizo ni kubwa zaidi kwa mataifa ya ulimwengu wa tatu

Tanzania Anthem

Saturday, 29 October 2016

TULIPO SIPO-TUJITATHIMINI-VIDEO


UKianza kutafakari kwa kina maelezo aliyoyatoa wiki hii Daktari Charles Masonde wa NECTA Utagundua Kuwa Wasomi Uchwara Tulio nao Wanatengezwa na Uroho wa Pesa na Sifa Kwa UMMA,
Mkururu wa Maelezo aliyotoa Katibu Mtendaji wa NECTA Dr Masonde Utagundua Kuwa Matokeo ya mitihani Kila yanapotoka Shule za watu binafsi ama Asasi zisizo Za serikali ndo zinaongoza Kufaulisha.

Share:

Friday, 21 October 2016

MUSIC:BEX WAMUSIC-NISAMEHE DOWNLOAD &LISTEN

kutoka kwa Msanii Bex wa Music Kakusogezea audio Hii hapa.Nisamehe Imetayarishwa na Dir Shack Audio na Video yake.

Download & Listen   Audio.


Share:

AUDIO:NEEMA YATUA KWA WAKULIMA WA ORIA HUKO KAHE.

Wakulima wa kijiji cha Oria Kata ya Kahe Magharibi mkoani Kilimanjaro wameondokana na adha ya maji baada ya kuundwa umoja wa watumia maji watakaosimamia skimu za umwagiliaji.

Share:

AUDIO:MILA POTOFU ZINAMKANDAMIZA MWANAMKE,MAOMBI KWA SERIKALI

Serikali imeombwa itoe elimu kuhusu mila potofu ambazo zinamkandamiza mwanamke na kumfanya akose haki zake za msingi.

Share:

Friday, 14 October 2016

NEWS:MJUE ALIYE TOA WAZO LA KUHAMIA DODOMA

Leo katika kumbukizi ya HAYATI Mwal.J.K.Nyerere ,Acha mimi nimuenzi kwa kukumbuka jitihada za serikali yake kutaka kuhamia Dodoma jambo ambalo limeanza kutekelezwa kwa miaka 40’s mbele.

Share:

Tuesday, 11 October 2016

MUSIC:PILLAMA MC FT GESTRYDER-DUNIA-DOWNLOAD HAPA

JOINT MPYA KUTOKA KWA MKALI ANAEWAKILISHA KUNDI LA SWAHILI HIPHOP TOKA MBEYA HII HAPA INAITWA DUNIA KAITAYARISHA MTU MZIMA GACH PALE GREEN REC.

 KAMA UNAHITAJI KUFANYA INTERVIEW NA PILLAMA MC PIGA SIMU HII 0766009842 :

Share:

NEW:AUDIO &VIDEO-PILLAMA MC FT GESTRYDER-DUNIA LYRICS

KUTOKA MBEYA GREEN CITY MSANII MAKINI KATIKA KIZAZI CHIPUKIZI CHA HIP HOP-PILLAMA MC  KAKUSOGEZEA MASHAIRI YA WIMBO WAKE KWA NJIA YA VIDEO WIMBO UNAITWA DUNIA UMETENGENEZWA CHINI YA GACHI-WA GREEN REC
NDANI YA MBEYA,NA KASHIRIKISHWA MWANADADA GESTRYDER.

Share:

Blog Archive