MUSIC:BEX WAMUSIC-NISAMEHE DOWNLOAD AND LISTEN
kutoka kwa Msanii Bex wa Music Kakusogezea audio Hii hapa.Nisamehe Imetayarishwa na Dir Shack..
MAPENGO YA SHERIA ZA USALAMA BARABARANI.(Mzee Wa Info)
Muungano wa asasi za kiraia unaoshawishi, kuimarishwa kwa mazingira ya sheria na sera ya usalama barabarani..
NEW MUSIC:RYCHRIS-SHUKA BWANA--GOSPLE-DOWNLOAD
MWIMBAJI WA MZIKI WA INJILI RUMISHAEL ULOMI (RYCHRIS) KWA SASA AMEKUSOGEZEA KAZI HII MPYA YA SHUKA BWANA..
AUDIO:WAJUE GENEOUS WAVUMBUZI WA 3G,4G ..(Mzee wa Info)
The giniazi(Geneous) ndo muda wake kwa sasa Mzee wa Info nakusogezea majiniazi wa vitu mbalimbali huku ulimwenguni
CHANZO CHA ZERO SHULE ZA MSINGI HIKI HAPA..SIKILIZA NA DOWNLOAD..
Ugumu wa soko la Ajira si tatizo la Tanzania pekee bali karibia mataifa yote ulimwenguni yanakumbana na changamoto hii,lakini tatizo ni kubwa zaidi kwa mataifa ya ulimwengu wa tatu
Tanzania Anthem
Friday, 18 December 2015
Wednesday, 9 December 2015
CHADEMA:VIONGOZI WASHINIKWA KUNG'ATUKA.
Ni kauli nzuri nchini Tanzania KILIMO NI UTI WA MGONGO Kutokana na ukweli kwamba wakulima ndio wanao zalisha chakula kwaajili ya mahitaji kwa wote lakini kwa sasa wameachwa bila kuwezeshwa mbolea za ruzuku ambazo hupunguza gharama za kilimo baada kulemewa na bei zinazopanda kutoka kwa wafanyabiashara .
Monday, 7 December 2015
MKUU WA MKOA ATANGAZA SIKU RASMI YA USAFI.
MKOA Wa
Katavi umeteua siku ya jumamosi ya Kuwa siku Maalum kwa wakazi wa Mkoa huo
kufanya usafi Katika Mazingira yanayowazunguka.
Agizo hilo
limetolewa leo na Mkuu wa Mkoa wa Katavi
Dr Ibrahimu Msengi Wakati wa Uzinduzi wa siku ya Usafi Katika Mkoa wa Katavi
Ikiwa ni sehemu ya Kutekeleza agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
la Kufanyika usafi wa Mazingira ifikapo Decemba 9 Mwaka huu.
Dr Msengi
amesema amaagiza Viongozi wa ngazi ya Kata na Vijiji kuandaa utaratibu Maalum
wa Utekelezaji wa Agizo hilo ikiwemo Kuwachukulia hatu watu watakaokaidi agizo
hilo kwa Kushindwa kufanya usafi Katika Mazingira yanayowazunguka.
MKUU
WA MKOA WA KATAVI MSIKILIZE HAPA.
Wakati huo
huo Mkuu wa Wilaya Katavi Bw Paza Mwamlima ametangaza amri ya kila mtu
kuhakikisha anafanya Kazi ikiwa ni pamoja na Kuzuia bishara ya bar kufanyika
nyakati za asbuhi,Michezo kama pool table.
MKUUWA WILAYA YA MPANDA MSIKILIZE HAPA
.
Nao baadhi
ya wananchi walioshiriki Katika zoezi hilo la uzinduzi wa usafi wamemshukuru
Rais Dr John Pombe Magufuli Kwa uamzi wake wa Kusimamia usafi wa Mazingira
ambapo wamewataka Viongozi wenye Mamlaka ya kusimamia usafi wasisubiri amri ya
serikali ya juu na badala yake wafanye kazi zilizowajili.
Jumla ya
tani 65.4 za taka ngumu hukusanywa Katika Manispaa ya Mpanda hali inayochangia
kuwepo Kwa maeneo yenye uchafu sugu Katika Mji wa Mpanda.