Tanzania Anthem

Saturday, 1 August 2015

VURUGU:UCHAGUZI KURA ZA MAONI CCM KATA YA IGOSI ZA TIBUKA.(SIKILIZA HAPA) AUDIO

Wakati zoezi la kupiga kura za maoni katika maeneo mbalimbali ndani ya Chama Cha mapinduzi CCM,kwa ajili ya kuwapata wagombea wa kupeperusha chama kwa ngazi ya ubunge na udiwani, katika uchaguzi mkuu mwezi octoba,

Hali si shwari katika kata ya igosi wilaya ya wanging’ombe magharibi mkoani njombe ambapo uchaguzi umevurugika kutokana na msimamizi wa uchaguzi huo wa chama kutoa takwimu batili ya idadi ya wanachama.


UNAWEZA SIKILIZA HAPA MAHOJIANO.
Share:

0 comments:

Post a Comment

Blog Archive