MUSIC:BEX WAMUSIC-NISAMEHE DOWNLOAD AND LISTEN

kutoka kwa Msanii Bex wa Music Kakusogezea audio Hii hapa.Nisamehe Imetayarishwa na Dir Shack..

MAPENGO YA SHERIA ZA USALAMA BARABARANI.(Mzee Wa Info)

Muungano wa asasi za kiraia unaoshawishi, kuimarishwa kwa mazingira ya sheria na sera ya usalama barabarani..

NEW MUSIC:RYCHRIS-SHUKA BWANA--GOSPLE-DOWNLOAD

MWIMBAJI WA MZIKI WA INJILI RUMISHAEL ULOMI (RYCHRIS) KWA SASA AMEKUSOGEZEA KAZI HII MPYA YA SHUKA BWANA..

AUDIO:WAJUE GENEOUS WAVUMBUZI WA 3G,4G ..(Mzee wa Info)

The giniazi(Geneous) ndo muda wake kwa sasa Mzee wa Info nakusogezea majiniazi wa vitu mbalimbali huku ulimwenguni

CHANZO CHA ZERO SHULE ZA MSINGI HIKI HAPA..SIKILIZA NA DOWNLOAD..

Ugumu wa soko la Ajira si tatizo la Tanzania pekee bali karibia mataifa yote ulimwenguni yanakumbana na changamoto hii,lakini tatizo ni kubwa zaidi kwa mataifa ya ulimwengu wa tatu

Tanzania Anthem

Friday, 20 February 2015

POLISI :JELA MIAKA 30 KWA KUBAKA SOMA ZAIDI



Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa ya Njombe, imemhukumu aliyekuwa mkuu wa kituo cha Polisi Ilembula kifungo cha miaka 30 jela, baada ya kukutwa na hatia ya kumbaka  mtuhumiwa aliyekuwa ndani ya mahabusu.
Share:

AKAMATWA AKIMUUZA MAMA YAKE!! SIKILIZA HAPA

PICHA NI KAMANDA WA POLISI MKOA WA RUVUMA ACP MIHAYO MSIKHELA AKIELEZEA JINSI GANI MTUHUMIWA WALIMKAMATA KATIKA SAKATA HILO LA KUMUUZA MAMA YAKE!
SIKILIZA--HAPA CHINI.>>
Share:

Breaking fleva Mez B amefariki dunia.SOMA ZAIDI


Msanii Mez B aka Moses aliyekuwa Mkoani Dodoma kwa matibabu baada ya kurudishwa nyumbani na mama yake amefariki Dunia. Mez B alikuwa akiuguliwa na homa ya mapafu [TB] na alikuwa kwenye dozi na leo ilikuwa siku ya tatu toka anatumia dawa hizo.
Share:

Thursday, 19 February 2015

ZAIDI YA 78 WAREJESHWA TENA>>BOFYA KUSOMA

Licha ya zoezi la kuwarudisha wanafunzi watoro  kwa mkoa wa katavi kufanikiwa kuwarudisha wanafunzi  78 wa Kidato cha kwanza Mpaka cha nne  Katika shule za Sekondari,Ikola,Ilandamilunda,Mpanda ndogo na Kabungu,bado ugumu wa maisha umetajwa kuwa ndio chanzo cha utoro huo.
Share:

Wednesday, 18 February 2015

NEW OFFICIAL VIDEO:JULIANA KANYOMOZI=WOMEN!WATCH AND DOWNLOAD

MSANII JULIANA KANYOMOZI KUTOKA NCHINI UGANDA AMEACHIA VIDEO YAKE MPYA YENYE MESEJI YA MAALUMU KWA JAMII JUU YA WANAWAKE
Share:

Saturday, 14 February 2015

UHAKIKA INFO NEW JINGLE 2015

uhakika info created a new introduction jingle for its blog...you can download and listen

Share:

Saturday, 7 February 2015

STORI KUBWA ZA LEO KITAIFA NA KITAIFA DOWNLOAD AND LISTEN BOFYA>>

matukio makuu ya leo kitaifa na kimataifa haya hapa..kama hujawa karibu na vyombo vya habari hii leo.

Please download and listen click here>>

Share:

Monday, 2 February 2015

SABABU YA UFAULU KONDOA ZAANIKWA WAZI--SIKILIZA HAPA NA UDOWNLOAD


Wazazi na walezi wametakiwa kushirikiana na walimu ili kuongeza kiwango cha ufaulu katika shule za msingi na sekondari hapa nchini.

Share:

Blog Archive