Wazazi na walezi wametakiwa
kushirikiana na walimu ili kuongeza kiwango cha ufaulu katika shule za msingi
na sekondari hapa nchini.Akizungumza
Na kituo hiki mwalimu mkuu wa shule ya
msingi Maji ya Shamba Bi.Dolah Mwanadama katika wilaya ya kondoa mkoani Dodoma.,amesema kuwa ushirikiano mzuri
baina ya jamii na ndio uliopelekea wao kushika nafasi ya tatu kiwilayakwa undani wa habari hii listern and download hapa>>
0 comments:
Post a Comment