WAKAZI WA KIJIJI CHA KAWAWA KATIKA WILAYA YA CHAMWINO ,WANAKABILIWA
NA UKOSEFU WA MGANGA MKUU PAMOJA NA UCHAKAVU WA MAJENGO YA ZAHANATI HIYO
KWA KIPINDI CHA MIAKA SITA KWA SASA.
WAKIZUNGUMZA NA KITUO HIKI BAADHI YA WAKAZI WA KIJIJI HICHO
WAMESEMA KUWA KIJIJI HICHO HAKINA MGANGA AMBAYE ANATAALUMA MAALUMU YA UDAKTARI
KAMA ALIVOBAINISHA BWANA KENETH MGULO
DOWNLOAD AND LISTEN BELOW>>
0 comments:
Post a Comment