Vijana Mkoani dodoma wameshauriwa kuzichangamkia fursa
zilizopo ikiwa ni pamoja na kutumia rasilimali zilizopo ili kujikwamua
kiuchumi,
Hayo yamesemwa na na Bwana Lazaro Raubeni ambaye ni mtendaji
mkuu wa MGT asasi isiyo ya kiserikali inayojihusisha na na masuala ya
vijana,akiwasilisha hoja yake bwana huyo ametoa hamasa kwa vijana juu ya
utambuzi wa fursa na rasilimali zinazo wazunguka kutumika vizuri ili kusaidia
jamii.
SIKILIZA NA DOWNLOAD HAPA>>>
0 comments:
Post a Comment