Tanzania Anthem

Friday, 23 January 2015

CHANZO CHA ZERO SHULE ZA MSINGI HIKI HAHA..SIKILIZA NA DOWNLOAD

Ugumu wa soko lajira si tatizo la Tanzania pekee bali karibia mataifa yote ulimwenguni yanakumbana na changamoto hii,lakini tatizo ni kubwa zaidi kwa mataifa ya ulimwengu wa tatu au kwa yale yanayoendelea kiuchumi,ambapo katika kukamilisha sera za millennia inatakiwa kila taifa liwe limepunguza idadi kubwa ya wimbi hilo hususani vijana ambao ndio waathiriwa wakubwa.
Mwandishi STANLEY MSIGWA KUTOKA DODOMA ameeandaa taarifa zaidi juu ya kuangalia tatizo hili lilivo kubwa hapa nchini kwa vijana wanao hitimu elimu ya juu na vyuo mbalimbali SIKILIZA HAPA CHINI.


Share:

0 comments:

Post a Comment

Blog Archive